Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
- Thread starter
- #261
TumeshakuzoeaHoja zangu hazieleweki na akili ndogo kama zenu
TumeshakuzoeaHoja zangu hazieleweki na akili ndogo kama zenu
Upo sahihi mkuu, wanapenda maisha mazuri na kwenda na fasion, hapo ndipo anguko lao linapokuja.Wakati mwingine haya mambo huwa yanatokea kwa sababu ya tamaa zao tu. Sidhani kama ni kujiuza ndio suluhisho la matatizo na akishakuwa muuzaji mzoefu hata matumizi ya hela yanakuwa hayana mpangilio mzuri.
Tamaa ya kwenda na fashion wakali uhalisia wa maisha haupo kama unavyotaka. Kimsingi hata kama watapewa mahitaji ya yote ya msingi lakini kujifanya kutaka kwenda na wakati kutawafanya waendelee na hizo tabia zao tu
Ushasema mabinti wadogo. Binti mdogo anatakiwa kulindwa. Kuna wale mafala wa uarabuni sijui wapi walitaka sheria mtoto wa miaka sijui 9 aolewe. Sio kila suala baya linalompata binti lawama ni kwa huyo binti.Hilo suala mnalofikiri wanawake ni wajanja ukija huku field mabinti wadogo wanaalibiwa sana. Halafu ukicheki vizuri inakuta wanaojaribu kukemea ni wanaume wema lakini nyie mnawaona loosers, bila kujua indirectly mnawapa badboys go ahead ya kuendeleza uharibifu wao
Mbona naona hapa wewe ndiyo una lobes kubwa sana ya hisia.Physiology ya ubongo ndivyo isemavyo lobe ya kufikiri kwa kina wanawake wanayo ndogo sana kwenye ubongo, ila lobes za hisia ni kubwa kwa mwanamke!
Angalia namna mwanamke wako anavobehave usiteteee ujinga
Kama ulivyo zoeleka wewe kuja na assumptions zako.Tumeshakuzoea
Wana utashi na wanajua consequences za wanachokifanya lakini wana uthubutu wa kufanya hivyo kwa sababu wanajua bado wanaume kama nyie ambao mshajitoa kutetea kila wanachofanya mpo kwenye jamii. Weak men kama wewe ambao hamna balls za kumwajibisha mwanamke ndio moja ya sababu ya hao mabinti kufanya hayo mambo wakijua wanachokifanya sio sahihiHapa sasa umeongea as if hao mabinti hawana utashi binafsi.
Mantiki hapa ni rahisi tu, kama wanaharibiwa na hao bad boys maana yake kuna vitu wanavutiwa navyo kutoka kwa hao bad boys.
Onyesha hayo malalamiko mzee wa kutoelewekaKwamba hata hauelewi kuwa writing style yako imekaa kimalalamiko lalamiko tu?
Sawa bwana sitafuti ushindi ila nilitaka kukuelewesha TUMbona naona hapa wewe ndiyo una lobes kubwa sana ya hisia.
Maana unaandika vitu ambavyo havina uhalisia halafu unataka kulazimisha iwe reality.
Hoja yako tu tayari imedhihirisha ni jinsi gani hauna uelewa wowote na physiology ya ubongo.
Wewe ita majina yote lakini haibadilishi ukweli kwamba unaandika nadharia sana kuliko uhalisia.Wana utashi na wanajua consequences za wanachokifanya lakini wana uthubutu wa kufanya hivyo kwa sababu wanajua bado wanaume kama nyie ambao mshajitoa kutetea kila wanachofanya mpo kwenye jamii. Weak men kama wewe ambao hamna balls za kumwajibisha mwanamke ndio moja ya sababu ya hao mabinti kufanya hayo mambo wakijua wanachokifanya sio sahihi
Mzee wa kutoeleweka yaani wewe hoja zako kila mtu hazielewiAngekuwa ameelewa, angejibu hoja yangu kwa hoja, hapo ukisoma maelezo yake unaona kuna hoja yenye mantiki?
Vijana hemu jifunzeni kusoma kwa ufahamu na kujibu hoja kwa hoja zenye mantiki, siyo unaandika blah blah blah halafu unataka ujibiwe kwa hoja yenye mantiki.
Basi ulitakiwa kuyasoma kwanza maelezo yako kabla ya kuyaruhusu kuja kwangu niyasome.Sawa bwana sitafuti ushindi ila nilitaka kukuelewesha TU
Asante kwa mchango wako
Nimeshindwa kukuelewesha. Tuachane na ilo sualaLilikuja uliposema "demu wangu" (ulitumia neno demu) hatakuwa na exception atakapofuatwa na mtu mwenye pesa, na ni nature ya mwanamke kutaka status na fedha, nikakuliza kama unaamini mwanamke wako anaweza kukusaliti akifatwa na mwenye pesa ukaingia kwenye kichaka kuwa umeacha room of dissapoitment linapokuja suala la mahusiano na yoyote.
Sasa sikutaka kujadili kichaka cha yoyote, nikakubakisha kwa mwanamke sababu mada ni mwanamke, wewe una mwanamke na kwa sababu umempa room of dissapoitment it means hoja yako ya wanamke wanasaliti ipo hata kwa mwanamke wako kama ilivyo kwa wanawake wengine ila kuna exception ya ubikira ndo maana upo nae, wewe ukaiita standard nikakueleza as long as unakubali wanawake wote wanaweza kusaliti ila akiwa na bikra anakufaa basi huyo ni mwanamke mwenye exception kwako kutoka kwenye comon pool ya wanawake wanaoweza kusaliti. Ukaanza kuongelea standard, nikakuambia unazunguka ila jambo lipo wazi. Sasa unless ukatae kuwa hatukujadili hivyo, suala la exception lilipaswa kuishia hapo.
Naunga mkono hoja. Halafu hii mida na maeneo tunayokuwa si ya mada ngumu ngumu. Akili ipo na vibe tofauti.Nimeshindwa kukuelewesha. Tuachane na ilo suala
Unapokosea na kunifanya nikuone pia hauelewi nini namaanisha ni kutumia hayo maneno.Mzee wa kutoeleweka yaani wewe hoja zako kila mtu hazielewi
Ulinzi wenyewe ndio pamoja na kuwawajibisha wakubwa wao. Wakiona single mother, dada zao wa chuo na wadangaji wengine wanapewa makavu. Hiyo itakua signal warning kwao kwamba watangulizi wao wamearibu kwaiyo wao wanatakiwa kuepuka hiyo njia. Lakini wakiona kuna la watu kama nyie mnawatetea watajua hata wakiaribu watapata tu wateteziUshasema mabinti wadogo. Binti mdogo anatakiwa kulindwa. Kuna wale mafala wa uarabuni sijui wapi walitaka sheria mtoto wa miaka sijui 9 aolewe. Sio kila suala baya linalompata binti lawama ni kwa huyo binti.
Mwanamke kuwa sawa na mwanaume katika maamuzi na kila kitu haiwezekani!!!Basi ulitakiwa kuyasoma kwanza maelezo yako kabla ya kuyaruhusu kuja kwangu niyasome.
Humu huwa hatutafuti ushindi, tunajadili, mtu anayetafuta ushindi ni yule asiye kuwa na hoja.
Mzee wa kutoeleweka unaanza kufanya comedy sasa. Kwamba haujui ufanyaji kazi wa akili ya mwanamke unachochezewa zaidi na hisia alizonazo wakati huo.Mbona naona hapa wewe ndiyo una lobes kubwa sana ya hisia.
Maana unaandika vitu ambavyo havina uhalisia halafu unataka kulazimisha iwe reality.
Hoja yako tu tayari imedhihirisha ni jinsi gani hauna uelewa wowote na physiology ya ubongo.
Hizo ni proven fact mzee mwenzangu, sio assumptionsKama ulivyo zoeleka wewe kuja na assumptions zako.
Tatizo lenu ni moja tu ndiyo maana nawaambia mnaandika nadharia sana, kwanza mnafanya kuhalalisha tabia fulani kwa kutumia jinsia na confirmation bias.Mwanamke kuwa sawa na mwanaume katika maamuzi na kila kitu haiwezekani!!!
Due to physiological, behavioral, anatomical and psychological factors
NEVER! unaleta siasa kibao bila kuona uhalisia uliopo mtaani
NGOJA NIKUPE MFANO PALE ULIPOSEMA "UTADHANI WANAWAKE HAWANA UTASHI WAO BINAFSI"
Wanawake wana utashi wao binafsi lakini ni nadra sana wao kuutumia ndo maana wanaongoza katika kuwa affected na risk kuliko mwanaume
So NATAFUTA AJIRA qlikuwa sahihi aliposema huko field wanaharibiwa ni kwa sababu ile niliyosema kwamba wanawake reasoning ni ndogo ndo maana hupata madhara kuliko mwanaume
Ila wewe unafosi kwamba nao ni watu wana uhuru which is sawa lakini madhara yake ni makubwa sana kwa wao wenyewe
Wanawake wa sasa hasa gen z, hawataki MWANAUME ASEME CHOCHOTE JUU YAO NA MAISHA YAO AU HAWATAKI KUONGOZWA NA MWANAUME
lakini wanataka kila kitu wafanyiwe na mwanaume na hiki ndiko miongoni mwa vitu ambavyo jamaa anapinga
Nature ilikuwa sahihi kuweka vile na sio hiko unachopambania wewe
Pole Mkuu!Wambie wanaume wenzio
wasioe kabisa
Ili kukata mzizi wa ftina
Hua mnakuja na nyuzi hizi kama darasa ila kwa upande mwingine mnapenda mnoo kudhalilisha wanawake
Hampendi kutumia ule msemo Baadhi ila wanawake wote ni malaya hakuna msafi aisee🙌🙌🙌🙌🙌
Kwenye jamii yoyote ile iwe zamani au sasa umalaya ukahaba ulikuepo
Na umalaya ni wapande mbili wanaume kwa wanawake
Kama baadhi ya wanaume wasingekua malaya umalaya usingekuepo na pia kama baadhi ya wanawake kua malaya ukahaba ungewezekana vipi?
Hii ni tabia chafu mbovu inategemea pande zote za shilingi ajabu mnachagua upande mmoja na kuubebesha mzigo wa lawama
Nb: Siungi mkono hizo tabia za ukahaba