Miaka michache ijayo wadogo na watoto wetu wataoa makahaba wastaafu

Miaka michache ijayo wadogo na watoto wetu wataoa makahaba wastaafu

Hilo suala mnalofikiri wanawake ni wajanja ukija huku field mabinti wadogo wanaalibiwa sana. Halafu ukicheki vizuri inakuta wanaojaribu kukemea ni wanaume wema lakini nyie mnawaona loosers, bila kujua indirectly mnawapa badboys go ahead ya kuendeleza uharibifu wao
Yeye mwenyewe huyo tsh ni MMOJA YA WANAOHARIBU HAO MABINTI NDO MAANA HATAKITONGE LIENDE MBALI NA MDOMO WAKE ANATETEA ILI AENDELEE KULA FAIDA
 
Kama tunakubaliana kuwa kila kitu ni biashara, mbona unalalamika kuhusu consequences zake (kama vile single mothers)? Kwenye biashara huwa hatulalamiki kuhusu market risks, tunazi manage tu.

Swali langu ni hili kama mwanaume umeamua kuingia kwenye contract ya kisasa ambapo hapana virginity wala loyalty ya kizamani, utakuwa tayari kukubali kuwa ndoa haipo tena kama sacred union bali ni legal partnership tu?

Na kama ni partnership, kwanini bado unatumia lugha ya sacrifice?
Wapi nimelalamika? Unajua tofauti ya lalamiko na angalizo?
 
Hapa sasa umeongea as if hao mabinti hawana utashi binafsi.

Mantiki hapa ni rahisi tu, kama wanaharibiwa na hao bad boys maana yake kuna vitu wanavutiwa navyo kutoka kwa hao bad boys.
Akili ya mwanamke haiko kama ya mwanaume hasa kwenye suala la ubongo unavofanya kazi kwenye lobe inayohusika na kutafakari madhara yajayo

Mwanamke anaongozwa na hisia, hajali madhara kwa muda husika yeye anaamua anachohisi na ndio maana jamaa anasema wanaharibiwa

Wewe unatumia logic kwa wanawake ambao wao wenyewe reasoning hawana !!!
 
Kwamba alivyo niita mimi ni feminist hiyo siyo personal attack?

Unajua kusoma kwa ufahamu kweli wewe?
kwa sababu feminist ni mtu anayetetea na kupambania haki za wanawake kuwa sawa na mwanaume katika nyanja mbali mbali

Na ndiko unachofanya, na hiyo kitu universe ilishakataa mapema sana na kumfanya mwanaume awe kiongozi na mwanamke awe msaidizi

So kumlinganisha mwanamke na mwanaume haiwezekani sababu wako tofauti kibailojia, mpaka ubongo na uchakataji wa taarifa katika akili zao na behavioral mechanisms
 
Wewe ni feminist ndiyo, kwa sababu feminist ni mtu anayetetea na kupambania haki za wanawake kuwa sawa na mwanaume katika nyanja mbali mbali

Na ndiko unachofanya
Mnataka mkiandika assumptions zenu humu kila mtu akubaliane na nyie.

Mtu yeyote anayepingana na madai yenu, mnampachika jina kuwa ni feminist, haishangazi lakini kwa sababu ndiyo uwezo wenu wa kujenga hoja unaishia hapo.

Na wala haibadilishi kitu chochote wewe kuniita hivyo.
 
Ndio kichaka chako hicho. Unalazimisha udongo uwe chakula halafu unakimbilia kusema mtu hajakuelewa
Angekuwa ameelewa, angejibu hoja yangu kwa hoja, hapo ukisoma maelezo yake unaona kuna hoja yenye mantiki?

Vijana hemu jifunzeni kusoma kwa ufahamu na kujibu hoja kwa hoja zenye mantiki, siyo unaandika blah blah blah halafu unataka ujibiwe kwa hoja yenye mantiki.
 
Iko la mimi kusema wanawake wote ni sawa linapokuja suala la kuvheat hata sijui umetoka nalo wapi.
Lilikuja uliposema "demu wangu" (ulitumia neno demu) hatakuwa na exception atakapofuatwa na mtu mwenye pesa, na ni nature ya mwanamke kutaka status na fedha, nikakuliza kama unaamini mwanamke wako anaweza kukusaliti akifatwa na mwenye pesa ukaingia kwenye kichaka kuwa umeacha room of dissapoitment linapokuja suala la mahusiano na yoyote.

Sasa sikutaka kujadili kichaka cha yoyote, nikakubakisha kwa mwanamke sababu mada ni mwanamke, wewe una mwanamke na kwa sababu umempa room of dissapoitment it means hoja yako ya wanamke wanasaliti ipo hata kwa mwanamke wako kama ilivyo kwa wanawake wengine ila kuna exception ya ubikira ndo maana upo nae, wewe ukaiita standard nikakueleza as long as unakubali wanawake wote wanaweza kusaliti ila akiwa na bikra anakufaa basi huyo ni mwanamke mwenye exception kwako kutoka kwenye comon pool ya wanawake wanaoweza kusaliti. Ukaanza kuongelea standard, nikakuambia unazunguka ila jambo lipo wazi. Sasa unless ukatae kuwa hatukujadili hivyo, suala la exception lilipaswa kuishia hapo.
 
Ufuska mara nyingi ni akili ya mtu tu mkuu wala sio kipato.
Kuna mademu wanatembeza hata matunda mjini ukiwaona ni heri hawa kuliko wa "nakuja ila nadaiwa hela ya kikoba"
Nakubaliana na wewe, mtaani kuna mdada mzuri sana, ana umbo matata, ni single mother ila mkali sana lakini anauza matunda.

Umalaya ni mtu tu na sio suala la kipato na sababu zingine za kipuuzi.
 
Hapa kwanza umeandika assumption, hakuna hoja hapa.

Uhakika wa kusema kwamba wao wenyewe reasoning hawana umeutoa wapi?

Au wewe ni mwanamke?
Physiology ya ubongo ndivyo isemavyo lobe ya kufikiri kwa kina wanawake wanayo ndogo sana kwenye ubongo, ila lobes za hisia ni kubwa kwa mwanamke!

Angalia namna mwanamke wako anavobehave usiteteee ujinga
 
Back
Top Bottom