Miaka michache ijayo wadogo na watoto wetu wataoa makahaba wastaafu

Wewe ita majina yote lakini haibadilishi ukweli kwamba unaandika nadharia sana kuliko uhalisia.

Kama bado una mindset ya kutaka kuwa na mamlaka juu ya utu uzima wa mtu mwingine, utakuwa na safari ndefu sana ya kujikomboa kijana.
Uzuri ni kwamba sihitaji kutumia nguvu kutetea uhalisia wa ninachokiandika. Soma comments uone ni wangapi wanakubaliana na ninachokiandika.

Naongea facts mzee baba ukija kuzipinga kichwa kichwa thread nzima utaishia kujitetea watu hawakuelewi
 
Mzee wa kutoeleweka unaanza kufanya comedy sasa. Kwamba haujui ufanyaji kazi wa akili ya mwanamke unachochezewa zaidi na hisia alizonazo wakati huo.
Mzee wa kuandika nadharia ,akili ya mwanamke wewe mwanaume hauwezi kuelewa inavyofanya kazi unless otherwise uwe ni mwanamke labda.

Hayo mafundisho mnayojifunza kuhusu wanawake, mnaingizana chaka sana.
 
Unapokosea na kunifanya nikuone pia hauelewi nini namaanisha ni kutumia hayo maneno.

Kila mtu una maanisha wewe na nani?

Huwa nachangia mara ngapi humu jukwaani, umewahi kuona kuna mtu yoyote anadai mimi sieleweki?

Kama haunielewi ni wewe, na hakuna ulazima wa kunielewa, lakini usipende kutumia wingi, uwe unajizungumzia wewe peke yako.
Madai ya kwamba hoja zako hazieleweki si unayatoa mwenyewe
 
Uzuri ni kwamba sihitaji kutumia nguvu kutetea uhalisia wa ninachokiandika. Soma comments uone ni wangapi wanakubaliana na ninachokiandika.

Naongea facts mzee baba ukija kuzipinga kichwa kichwa thread nzima utaishia kujitetea watu hawakuelewi
Binafsi sihitaji kabisa kuungwa mkono, hili nimewaachia nyie vijana mnaonadika nadharia ili mpate wa kuwaunga mkono.

Mimi naandika uhalisia wa namna dunia inavyoenda, na wala sihitaji pia kutumia nguvu kukuelewesha.

Mtu yoyote anayetaka kupinga hoja zangu, namkaribisha sana lakini awe na hoja tu, maana huwa sijadili na wajinga wajinga.
 
Madai ya kwamba hoja zako hazieleweki si unayatoa mwenyewe
Mtazamo wako, ndio unaona hivyo ndiyo maana unataka kulazimisha kila mtu akuunge mkono kuona hoja zangu hazieleweki.

That's why nimekushauri usipende kutumia wingi, uwe unajizungumzia mwenyewe kiume zaidi.
 
Pole Mkuu!
Upo sahihi kinadharia! "It takes two to tango"
Ila Mkuu sometime katika baadhi ya nyanja ni ngumu kwa jinsia ya kike na kiume kuwa na usawa timilifu.
Dunia tangu enzi ime set benchmarks ambazo kiuhalisia ni ngumu kuzibadilisha hata katika zama hizi za 50/50.
Mathalan, Mwanaume akila siyo story ila mwanamke akila ni story na wanasema ameliwa amengongwa amepakuliwa n.k! Katika baadhi ya jamii mahawala wakifumaniwa anayepigwa mawe ni mwanamke! kuna nena wanawake wanajiuza lakini siyo wanaume wanajiuza! Kabla ya ukimwi ilikuwa ni sifa mwanaume kuwapitia wanawake wengi mtaani lakini ni fedheha kwa mwanamke kuwa na wanaume wengi.
Hivyo upo sahihi kuwa mfumo unawaweka wanawake kwenye disadvantage.
Hata hivyo kuna maeneo mwanamke naye amepewa advantage na jamii! Mfano, mwanamke anatongozwa na siyo kutongoza, na ana option ya kusema yes au No. Mwanamke kidesturi anahongwa na wala wanaume hawahoji!
Hivyo, silaha kubwa ya mwanamke ni neno No. Akitumia vizuri neno No value yake inapanda na kamwe hawezi kuitwa majina ya ajabu kama kahaba. Na wapo wanawake wengi tu huwa hawasemi YES labda yeye mwenyewe awe na interest

Mungu awasaidie vizazi vyetu kike na kiume wasipitie mtego wa kuangukia mikononi mwa wazinzi
Asante kaka umeongea vizuri na umeeleweka sana 🙏🙏🙏
 
Wambie wanaume wenzio
wasioe kabisa
Ili kukata mzizi wa ftina

Hua mnakuja na nyuzi hizi kama darasa ila kwa upande mwingine mnapenda mnoo kudhalilisha wanawake

Hampendi kutumia ule msemo Baadhi ila wanawake wote ni malaya hakuna msafi aisee🙌🙌🙌🙌🙌

Kwenye jamii yoyote ile iwe zamani au sasa umalaya ukahaba ulikuepo

Na umalaya ni wapande mbili wanaume kwa wanawake
Kama baadhi ya wanaume wasingekua malaya umalaya usingekuepo na pia kama baadhi ya wanawake kua malaya ukahaba ungewezekana vipi?

Hii ni tabia chafu mbovu inategemea pande zote za shilingi ajabu mnachagua upande mmoja na kuubebesha mzigo wa lawama

Nb: Siungi mkono hizo tabia za ukahaba
Kama hukuwahi kuolewa na BIKRA hauna kwanini usiitwe malaya
 
Ulinzi wenyewe ndio pamoja na kuwawajibisha wakubwa wao. Wakiona single mother, dada zao wa chuo na wadangaji wengine wanapewa makavu. Hiyo itakua signal warning kwao kwamba watangulizi wao wamearibu kwaiyo wao wanatakiwa kuepuka hiyo njia. Lakini wakiona kuna la watu kama nyie mnawatetea watajua hata wakiaribu watapata tu watetezi
Wamekuwepo watetezi wa wanawake mpaka kwenye vitabu vitakatifu Kasome (Yohana 8:7) sembuse humu JF ambapo utetezi ni wa kuweka exceptions? Watetezi humu wala hawakupingi unapokemea utovu wa maadili, wanapinga general rule isiyo na exceptions inayoletwa na namna unavyowasilisha hoja.

We sema, tuwalee mabinti zetu waheshimu misingi ya maadili na kuwakumbusha wake zetu kuhakikisha wana watoto wa kike wanaoelewa umuhimu wa maadili, mapenzi sahihi na familia.

Asante kwa mada nzuri, tuishie hapa Mkuu.
 
Pole Mkuu!
Upo sahihi kinadharia! "It takes two to tango"
Ila Mkuu sometime katika baadhi ya nyanja ni ngumu kwa jinsia ya kike na kiume kuwa na usawa timilifu.
Dunia tangu enzi ime set benchmarks ambazo kiuhalisia ni ngumu kuzibadilisha hata katika zama hizi za 50/50.
Mathalan, Mwanaume akila siyo story ila mwanamke akila ni story na wanasema ameliwa amengongwa amepakuliwa n.k! Katika baadhi ya jamii mahawala wakifumaniwa anayepigwa mawe ni mwanamke! kuna nena wanawake wanajiuza lakini siyo wanaume wanajiuza! Kabla ya ukimwi ilikuwa ni sifa mwanaume kuwapitia wanawake wengi mtaani lakini ni fedheha kwa mwanamke kuwa na wanaume wengi.
Hivyo upo sahihi kuwa mfumo unawaweka wanawake kwenye disadvantage.
Hata hivyo kuna maeneo mwanamke naye amepewa advantage na jamii! Mfano, mwanamke anatongozwa na siyo kutongoza, na ana option ya kusema yes au No. Mwanamke kidesturi anahongwa na wala wanaume hawahoji!
Hivyo, silaha kubwa ya mwanamke ni neno No. Akitumia vizuri neno No value yake inapanda na kamwe hawezi kuitwa majina ya ajabu kama kahaba. Na wapo wanawake wengi tu huwa hawasemi YES labda yeye mwenyewe awe na interest

Mungu awasaidie vizazi vyetu kike na kiume wasipitie mtego wa kuangukia mikononi mwa wazinzi
Kuna nadharia mbaya sana feminism imewaaminisha waumini wake. Imewaaminisha kwamba mwanaume na mwanamke ni uniform kwenye kila kitu, kwahiyo wakiwekwa kwenye situation moja autcomes za kila upande zitakua sawa.

Kitu ambacho sio kweli kabisa. Kuna situation ambazo zinamuhukumu mwanaume bila kumgusa mwanamke na kuna situations ambazo zinamhukumu mwanamke bila kumgusa mwanaume. Is not fair but that's nature. You can't wrestle it
 
Wamekuwepo watetezi wa wanawake mpaka kwenye vitabu vitakatifu Kasome (Yohana 8:7) sembuse humu JF ambapo utetezi ni wa kuweka exceptions? Watetezi humu wala hawakupingi unapokemea utovu wa maadili, wanapinga general rule isiyo na exceptions inayoletwa na namna unavyowasilisha hoja.

We sema, tuwalee mabinti zetu waheshimu misingi ya maadili na kuwakumbusha wake zetu kuhakikisha wana watoto wa kike wanaoelewa umuhimu wa maadili, mapenzi sahihi na familia.

Asante kwa mada nzuri, tuishie hapa Mkuu.
Sahihi sana, ukipingana na hoja zao unaitwa feminist.

Vijana wanafurahisha na kusikitisha sana hawa.
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Wamekuwepo watetezi wa wanawake mpaka kwenye vitabu vitakatifu Kasome (Yohana 8:7) sembuse humu JF ambapo utetezi ni wa kuweka exceptions? Watetezi humu wala hawakupingi unapokemea utovu wa maadili, wanapinga general rule isiyo na exceptions inayoletwa na namna unavyowasilisha hoja.

We sema, tuwalee mabinti zetu waheshimu misingi ya maadili na kuwakumbusha wake zetu kuhakikisha wana watoto wa kike wanaoelewa umuhimu wa maadili, mapenzi sahihi na familia.

Asante kwa mada nzuri, tuishie hapa Mkuu.
Dhana ya generalization nilishaionhelea uko juu kwamba kwenye kuiwasilisha hoja huwa hatuangalii exception au kutaja kesi moja moja. Tunawasilisha hoja kwa kujumuisha. There is exception in everything but exceptionality don't count when we generalize. Relationship monetization ndio mtindo ambao wanawake wa kila tabaka wamaurasimisha kwa sasa.

Nikawapa assignment wewe na feminist mwenzako uko juu. Leteni thread kupinga mwanaume kuwa sponsor wa mahusiano badala yake mwanaume na mwanamke walioamua kuwa wapenzi wapeane mapenzi tu na kila mmoja afanye kazi na kubaki na hela zake. Uone kama hao wanawake unaosema hawajiuzi watakubaliana na hoja yako
 
Mtazamo wako, ndio unaona hivyo ndiyo maana unataka kulazimisha kila mtu akuunge mkono kuona hoja zangu hazieleweki.

That's why nimekushauri usipende kutumia wingi, uwe unajizungumzia mwenyewe kiume zaidi.
Hoja zako zote nimezielewa, ni wewe ndio umekuja na madai kwamba sikuelewi. Sasa hivi unasema kutokukuelewa ni mtazamo wangu. Unajua haueleweki mzee wa kutoeleweka.

Suala la kutumia ujumuishi ilo lipo kila sehemu. Ikija mada wa kumjadili mtu mmoja hapo ndipo tutaangalia kesi yake tu lakini kama mada inahusu jamii kwa ujumla hapo lazima tufanye generalization. Kama hautaki generalization kwenye mijadala inayohusu jamii kwa ujumla pasua chupa umeze vipande vyake.
 
Dhana ya generalization nilishaionhelea uko juu kwamba kwenye kuiwasilisha hoja huwa hatuangalii exception au kutaja kesi moja moja. Tunawasilisha hoja kwa kujumuisha. There is exception in everything but exceptionality don't count when we generalize. Relationship monetization ndio mtindo ambao wanawake wa kila tabaka wamaurasimisha kwa sasa.
Hiyo role unayotaka iwe applied kwa dhana ya generalization itawezekana vipi wakati unapotamka neno "mwanamke" kila mtu anakuja na taswira yake kichwani?

Wakati wewe ukisikia neno "mwanamke" unawaza malaya mwingine anawaza mlezi itawezekana vipi Kugeneralize?

Ndo maana ferminist mwenzangu huko juu akakuambia tabia si uchumi kwamba ni common kwa wote.
Nikawapa assignment wewe na feminist mwenzako uko juu. Leteni thread kupinga mwanaume kuwa sponsor wa mahusiano badala yake mwanaume na mwanamke walioamua kuwa wapenzi wapeane mapenzi tu na kila mmoja afanye kazi na kubaki na hela zake. Uone kama hao wanawake unaosema hawajiuzi watakubaliana na hoja yako
Tukileta hiyo mada tutapingwa na wanawake ila exception zipo za watakaoona ni sawa kama ambavyo unataka role ya generalization uwe applied na wapo wanaokupinga wanaiapply.

Kwani hakuna wanawake wasiotaka fedha ya mwanaume?
 
Hiyo role unayotaka iwe applied kwa dhana ya generalization itawezekana vipi wakati unapotamka neno "mwanamke" kila mtu anakuja na taswira yake kichwani?

Wakati wewe ukisikia neno "mwanamke" unawaza malaya mwingine anawaza mlezi itawezekana vipi Kugeneralize?

Ndo maana ferminist mwenzangu huko juu akakuambia tabia si uchumi kwamba ni common kwa wote.

Tukileta hiyo mada tutapingwa na wanawake ila exception zipo za watakaoona ni sawa.

Sawa mkuu, tuanzie utafiti wetu hapa hapa jf. Badae andika thread kupinga mwanaume kuwa sponsor wa mahusiano badala yake mwanaume na mwanamke ambao wameamua kuwa wapenzi wapeane mapenzi tu na kila mmoja afanye kazi abaki na hela zake na ajihudumie mahitaji yake mwenyewe. Tuone reactions za wanawake wenyewe watasemaje
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Hoja zako zote nimezielewa, ni wewe ndio umekuja na madai kwamba sikuelewi. Sasa hivi unasema kutokukuelewa ni mtazamo wangu. Unajua haueleweki mzee wa kutoeleweka.

Suala la kutumia ujumuishi ilo lipo kila sehemu. Ikija mada wa kumjadili mtu mmoja hapo ndipo tutaangalia kesi yake tu lakini kama mada inahusu jamii kwa ujumla hapo lazima tufanye generalization. Kama hautaki generalization kwenye mijadala inayohusu jamii kwa ujumla pasua chupa umeze vipande vyake.
Bado unarudia kuandika yale yale, niliyo kukosoa mwanzo, wewe unatumia mbinu ya fallacy of composition yaani unajaribu kuhalalisha kuwa kila kitu kinachotokea kwenye jamii lazima kijadiliwe kwa kutumia generalization.

Jifunze kwanza kutofautisha generalization na data, kwenye mijadala ya kijamii huwa tunatumia statistics kuonyesha mwenendo, elewa kwamba huwa hatutumii generalization kutengeneza ukweli.

Mfano kama takwimu zinasema asilimia 30 ya wanaume wamefilisika, hiyo ni statistical fact lakini ukisema wanaume wote ni masikini hiyo inakuwa ni generalization ambayo haina ukweli.

Tukirudi kwenye mada yako, kudai wanawake wote wanajiuza directly/indirectly hapa napo ulikuwa umetumia generalization kuwahukumu, kwa sababu haujatumia data, na hapa ndipo unapopoteza uhalali wa hoja zako ndiyo maana nakupinga na kukwambia unaandika nadharia sana.

Unahukumu kundi zima kwa makosa ya wachache.
 
Sawa mkuu, tuanzie utafiti wetu hapa hapa jf. Badae andika thread kupinga mwanaume kuwa sponsor wa mahusiano badala yake mwanaume na mwanamke ambao wameamua kuwa wapenzi wapeane mapenzi tu na kila mmoja afanye kazi abaki na hela zake na ajihudumie mahitaji yake mwenyewe. Tuone reactions za wanawake wenyewe watasemaje

Ukileta hiyo mada sawa watapinga, ila katikati ya wapingaji watakuwepo pia ambao kutokupewa pesa na mwanaume its Ok. Exceptions hazikosekani na huwezi kugeneralize Natafuta Ajira.

Unajua kuna wanawake wapo kwenye ndoa wana uchumi kuwazidi vijana na wao ndo walitoa pesa hata ya mahari kumfichia aibu mwenzake? Sasa hilo kundi ukiliambia kila mtu abaki na pesa zake wataona shida?

Kuna kundi la vijana wasio na ajira, wana wapenzi wana ajira. Ukiwapa hiyo option ya kila mtu akae na pesa zake wataona tabu?

Vipi kundi la mabinti familia bora ambao baba na mama wanatoa kila kitu ambao wana wapenzi familia za kawaida? Hao ukiwaambia kila mtu akae na pesa zake?
 
Hiyo role unayotaka iwe applied kwa dhana ya generalization itawezekana vipi wakati unapotamka neno "mwanamke" kila mtu anakuja na taswira yake kichwani?

Wakati wewe ukisikia neno "mwanamke" unawaza malaya mwingine anawaza mlezi itawezekana vipi Kugeneralize?

Ndo maana ferminist mwenzangu huko juu akakuambia tabia si uchumi kwamba ni common kwa wote.

Tukileta hiyo mada tutapingwa na wanawake ila exception zipo za watakaoona ni sawa.

Kwani hakuna wanawake wasiotaka fedha ya mwanaume?
Sawa mkuu, tuanzie utafiti wetu hapa hapa jf. Badae andika thread kupinga mwanaume kuwa sponsor wa mahusiano badala yake mwanaume na mwanamke ambao wameamua kuwa wapenzi wapeane mapenzi tu na kila mmoja afanye kazi abaki navbhela zake na ajihudumie mahitaji yake mwenyewe. Tuone reactions za wanawake wenyewe watasemaje
Bado unarudia kuandika yale yale, niliyo kukosoa mwanzo, wewe unatumia mbinu ya fallacy of composition yaani unajaribu kuhalalisha kuwa kila kitu kinachotokea kwenye jamii lazima kijadiliwe kwa kutumia generalization.

Jifunze kwanza kutofautisha generalization na data, kwenye mijadala ya kijamii huwa tunatumia statistics kuonyesha mwenendo, elewa kwamba huwa hatutumii generalization kutengeneza ukweli.

Mfano kama takwimu zinasema asilimia 30 ya wanaume wamefilisika, hiyo ni statistical fact lakini ukisema wanaume wote ni masikini hiyo inakuwa ni generalization ambayo haina ukweli.

Tukirudi kwenye mada yako, kudai wanawake wote wanajiuza directly/indirectly hapa napo ulikuwa umetumia generalization kuwahukumu, kwa sababu haujatumia data, na hapa ndipo unapopoteza uhalali wa hoja zako ndiyo maana nakupinga na kukwambia unaandika nadharia sana.

Unahukumu kundi zima kwa makosa ya wachache.
Utafiti wangu binafsi nimefanya. Labda tuseme hautambiliki rasmi au sikukushirikisha. Tuanzie hapa hapa jf. Naamini mitazamo ya wavnawake wa jf haitatofauti na mitazabmo ya population ya wanawake. Badae leta thread kupinga mwanaume kuwa sponsor wa mahusiano badala yake mwanaume na mwanamke walioamua kuwa wapenzi wapeane mapenzi tu na kila mmoja afanye kazi na kubaki na hela zske pamoja na jujihudumia mahitaji yake mwenyewe. Tuone reactions za wanawake wenyewe
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom