Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,461
- 11,345
Wewe unachotaka kusema ni nini?Vijana wanatakiwa wajue soko limeshakuwa transactional, wanaume wengi wanaumia kwa sababu wanajaribu kutafuta real love iliyojengwa kwenye mifumo ya zamani ya kijamii ndani ya soko ambalo limebadilika kuwa la kibiashara (transactional marketplace).
Huwezi kuingia kwenye duka la kisasa la bidhaa ambapo kila kitu kina price tag halafu utegemee kupata bidhaa ya bure kwa sababu tu wewe ni mwanaume mwema, kizazi kipya hili wamelielewa vizuri sana ndio maana wako straight.
Unakuta kijana anataka mwanamke wa traditional values lakini anamtafuta kwenye modern marketplace ambapo wanawake wamejifunza kujitegemea na kutazama value kwanza, hii ni paradox isiyowezekana.
Kutaka mapenzi ya kizamani kwa wanawake walio market oriented hii ndiyo inayozalisha wivu, uchungu, na malalamiko kila siku kuhusu wanawake.
Unasapoti ukahaba?
Unasapoti watoto wa vyuo kugeuza miili yao chanzo cha pesa?
Unafurahia haya matendo?
Au unawatetea wanawake?
Ulichokiongea hapo juu ni kitu kimoja, ila NATURE NI KITU KINGINE BRO
HUWEZI FOSI ULE UDONGO BADALA YA CHAKULA,
SO MTOA MADA KUNA KITU ANAKIGUSIA HUJAMUELEWA