Miaka michache ijayo wadogo na watoto wetu wataoa makahaba wastaafu

Miaka michache ijayo wadogo na watoto wetu wataoa makahaba wastaafu

Lilikuwa suala la kuzikubali tu hizo hoja , nimekupinga kwa sababu tatizo la watu wachache wewe unataka kulihalalisha lionekane ni la jinsia nzima, ndiyo maana nikakomaa na hiyo hoja ya kuwaongelea wanaume kama ndiyo mzizi wa tatizo kuzidi kukua.
Wapi nimesema ni sharti nikichoandikwa kikubaliwe. Wewe unataka mimi niende kwenye kitu ambacho sijakiandika. Nimeendika mada nyingine ambayo inahusu hii trend ya mabinti kuishi kwa kuganya casually prostitution. Wewe umekuja na mada nyingine ya wanaume kuonga

Hawa mabinti wanaoishi kwa kudanga wana makosa na hao wanaume wanaofadhiri hayo maisha pia wana makosa lakini hizo ni mada mbili tofauti.

Hatuwezi kuhalalisha wanachokifanya gold diggers kwa kuwaangushia jumba bovu rich simp. Vilevile hatuwezi kuwahalaisha wanachokifanya rich simp kwa kuwaangushia junba bovu gold diggers

They are both wrong, and two wrongs don't make it correct. So, thise are two topics to be discussed separately. Kioi ambacho hauelewi?
 
I feel like hii imekuwa trend mleta mada.... Hata hai colerate na maswala ya kiuchumi.

Mabinti wanaona fashion kuwa na masponsor yaani asipo kuwa na mubaba anaonekana wa kuja.

Unakuta demu anatoka wealthy family kabisa ila hajitambui anaendeshwa na trend kama zombie kazi kuvaa vikuku tuu, kijishauwa kusiko na maana na akili mukichwa no zero.

Hili sio swala la kiuchumi trust me, mademu washenzi tu, vina ego na vinaliwa na kuchezewa tu nothing more. Na men awanajua sana kuviitumia, unakaacha karinge unnaka nunulia mahitaji then unakachapa mashine mpka kanogewe next time hata nguvu hutumii

Ila Ukija na nyuzi kama hizi vina play safe na kujifanya vitakatifu. So what, sisi hatujali. Endelea kuwaamsha tu ila kama kawaida yao wanakumbuka shuka soko Lao limesha kwisha
 
Huwa mnakimbilia huku huku nyie vijana msio kuwa na akili timamu za kujenga hoja zenye mantiki.
Huo ndio ukweli feminism imealibu mpaka akili za baadhi ya wanaume. Tatizo changamoto ya kuwa mpumbavu ni kwamba mpumbavu mwenyewe hajioni kama yeye ni mpumbavu. Wanaomzunguka ndio wanaona upumbavu wake
 
Nikisema walengwa ni wanaume haimaanishi kwamba thread itasomwa na wanaume tu. Hao wanawake wanaweza kusoma lakini ujumbe hahwahusu wao directly. Kuhusu matusi unaweza ukaonyesha wapi limeandikwa tusi kwenye heading au thread
Wewe ni mwanaume, kwanini unatumia muda mwingi kuandika kuhusu tabia za wanawake badala ya kuandika kuhusu maadili ya mwanaume?
 
Mustakabali wa mahusiano ni fumbo lakini huo sio uhalali wa mimi kufanya gamble kwa mwanamke ambae tayari nishaziona red flags. Siwezi nikapuuzia redflags kwa kigezo cha exception. It's ok the future is not ours to see, but when it come to vetting i will jugde women harshly and ruthlessly based on their past
All women might leave you, but there are exceptions among those without red flags, Hichi ndo unachokisema.

Halafu unapofanya vetting, you are looking for those who are exceptions from the common character.

Kwenye hoja yako hii, wanawake wote umewagroup kwenye kapu moja(Common character), kapu la kukusaliti wakifuatwa na mwenye pesa but.......... Exception sasa ikaanza kutumika ukaiita red flag.

so nadhani kuhusu kuwa na exception tumemaliza, Unless unataka tujadili for the case ya kusogeza muda.
 
Huo ndio ukweli feminism imealibu mpaka akili za baadhi ya wanaume. Tatizo changamoto ya kuwa mpumbavu ni kwamba mpumbavu mwenyewe hajioni kama yeye ni mpumbavu. Wanaomzunguka ndio wanaona upumbavu wake
Sahihi kabisa, na ninadhani mfano halisi ni wewe.

Maana unaandika assumptions mtupu kwa uhakika sana as if unawajua sana wanawake kuliko wanavyo jijua wao.
 
Huo ndio ukweli feminism imealibu mpaka akili za baadhi ya wanaume. Tatizo changamoto ya kuwa mpumbavu ni kwamba mpumbavu mwenyewe hajioni kama yeye ni mpumbavu. Wanaomzunguka ndio wanaona upumbavu wake
They're being brainwashed to think in terms of black and white... Hawajui that's a trap, a trap to keep blaming themselves for the adversities caused by women.. Because they think that with every woman's deed there is a man behind her....

Hawajui kuwa hawa viumbe wana categories wanaume, hawajui kuwa weak minded men are always gonna be fooled. Ulisema yule manzi alikuwa na boyfriend, ambaye alikuwa hajui kuwa manzi yake anakipiwa ada ya shule na sponsor...

Sasa kwa scenario hiyo huyo manzi ama Fanya ukahaba na huyo boyfriend wake hakujua, bado alikuwa na madanga kama yote ila bado watu kama huyu jamaa unae bishana naye atataka aseme kuwa huyo malaya hatakiwi kulaumiwa because hilo jambo linamhusu mwanaume sasa una kaa kujiuliza Wth inamaana hata akili ya kuzaliwa mtu hana?
 
All women might leave you, but there are exceptions among those without red flags, Hichi ndo unachokisema.

Halafu unapofanya vetting, you are looking for those who are exceptions from the common character.

Kwenye hoja yako hii, wanawake wote umewagroup kwenye kapu moja(Common character), kapu la kukusaliti wakifuatwa na mwenye pesa but.......... Exception sasa ikaanza kutumika ukaiita red flag.

so nadhani kuhusu kuwa na exception tumemaliza, Unless unataka tujadili for the case ya kusogeza muda.
Kwa maelezo yangu exception na red flag ni vitu tofauti. Nitakapoiona tu red flag naishia hapo hapo. Siende mbali kwa kuangalia exception. Mfano standard yangu linapokuja suala la kuoa ni mwanamke kuwa bikira. Kwahiyo nitapoona tu sio bikira vetting inaishia hapo hapo siende kwenye exception ya kutaka kujua hana bikira kwa sababu ipi na hiyo sababu ina uzito wa mimi kulegeza msimamo wangu?
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Wambie wanaume wenzio
wasioe kabisa
Ili kukata mzizi wa ftina

Hua mnakuja na nyuzi hizi kama darasa ila kwa upande mwingine mnapenda mnoo kudhalilisha wanawake

Hampendi kutumia ule msemo Baadhi ila wanawake wote ni malaya hakuna msafi aisee🙌🙌🙌🙌🙌

Kwenye jamii yoyote ile iwe zamani au sasa umalaya ukahaba ulikuepo

Na umalaya ni wapande mbili wanaume kwa wanawake
Kama baadhi ya wanaume wasingekua malaya umalaya usingekuepo na pia kama baadhi ya wanawake kua malaya ukahaba ungewezekana vipi?

Hii ni tabia chafu mbovu inategemea pande zote za shilingi ajabu mnachagua upande mmoja na kuubebesha mzigo wa lawama

Nb: Siungi mkono hizo tabia za ukahaba
I love you 😘

Now ngoja nirudi nikasome comments zote.
 
They're being brainwashed to think in terms of black and white... Hawajui that's a trap, a trap to keep blaming themselves for the adversities caused by women.. Because they think that with every woman's deed there is a man behind her....

Hawajui kuwa hawa viumbe wana categories wanaume, hawajui kuwa weak minded men are always gonna be fooled. Ulisema yule manzi alikuwa na boyfriend, ambaye alikuwa hajui kuwa manzi yake anakipiwa ada ya shule na sponsor...

Sasa kwa scenario hiyo huyo manzi ama Fanya ukahaba na huyo boyfriend wake hakujua, bado alikuwa na madanga kama yote ila bado watu kama huyu jamaa unae bishana naye atataka aseme kuwa huyo malaya hatakiwi kulaumiwa because hilo jambo linamhusu mwanaume sasa una kaa kujiuliza Wth inamaana hata akili ya kuzaliwa mtu hana?
Hawa feminist wa kiume nao ni sehemu ya tatizo. Inabidi kuanza kuwapiga spana na wao.

Mwanamke akidanga shida ni mwanaume. Kushindwa kumuhudumia

Mwanamke akichepuka shida ni mwanaume kushindwa kumridhisha.

Mwanamke akiwa single mother shida mwanaume kumzalisha na kupotea. Kama vile huyo mwanamke wakati anachanua mapaja na kuikatikia mboo akiwa kwenye siku za hatari alikua hajui consequences za anachokifanya
 
Sahii kabisa mkuu kwa sis ambazo bad atujaoa tuna kzi so ndogo
 
Back
Top Bottom