Miaka michache ijayo wadogo na watoto wetu wataoa makahaba wastaafu

Unaposema mimi napinga, napinga nini?

Ona sasa utakavyoingia kichakani ukiwa unajibu hili swali.
Jibu kuhusu dominance tuendelee na kama huna jibu, then jua jibu liko hapohapo. Vingine tunachezea ego tu
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
You are a walking zombie mkuu sitanii

Huwezi kufundishwa natural instincts na wakati ndo uhalisia wa kinacho kutokea.

There's no need of reasoning and other blah blah hapo tuache utani sasa
Bado hauelewi wewe, unadai tunapaswa kuangalia uhalisia, lakini unakataa kitu muhimu kinachotusaidia kuuelewa huo uhalisia ( reasoning.)

Kama instincts zingekuwa zinajieleza zenyewe bila kuzitafakari, basi kusingekuwa na tofauti kubwa za tabia kati ya jamii, tamaduni na watu binafsi.

Lakini unajua kabisa binadamu ana uwezo wa kujifunza na kubadilika, kwa hiyo hakuna anayekataa uhalisia wa instincts, hoja ni kwamba uhalisia huo haujifafanui wenyewe, isipokuwa tunahitaji akili na ushahidi kuuelewa vizuri, vinginevyo kila mtu anaweza kusema hii ni nature kulingana na anachohisi yeye kama wewe hivyo.
 
Sija kataa ku reason ila natural instincts hazibadiliki kwa reasoning... Ofcourse unaweza kuji program emtionaly kwa dogma na ukaona uko sawa na ndo mashoga na hawa feminists na nyie wamatumbi mlimo...

Ila uhalisia wa kibaolojia hauna ufafanuzi ni kitu kilicho wazi mtu akitaka kufanya mapenzi sio mpka aulizwe yanafanyajwe atatafuta mwenza na viungo vitafanya kazi.

Wewe mbona kichwa kigumu hivi? Bado huoni tu?
 
Mbona unauliza maswali na majibu unayo?
It's human desire to change their instincts that's fucking them up.
Nimekuuliza kwa sababu nataka kujua mantiki ya hoja yako.

Kama uwezo wa kubadilika nao ni sifa ya binadamu, basi hiyo nayo ni sehemu ya biological reality yetu, binadamu huwa anabadilika kwa sababu ana uwezo wa kujifunza na kujirekebisha kitu ambacho ni sehemu ya nature yake.

Swali ni mabadiliko gani hasa unayosema yanaharibu instincts, na unawezaje kutofautisha kati ya mabadiliko mabaya na yale ambayo yamemsaidia binadamu kuendelea kuishi na kudevelop?
 
Dah kwani hujui maana ya natural instincts?
 
Sija kataa ku reason ila natural instincts hazibadiliki kwa reasoning... Ofcourse unaweza kuji program emtionaly kwa dogma na ukaona uko sawa na ndo mashoga na hawa feminists na nyie wamatumbi mlimo...

Ila uhalisia wa kibaolojia hauna ufafanuzi ni kitu kilicho wazi mtu akitaka kufanya mapenzi sio mpka aulizwe yanafanyajwe atayafuta mwenza na viungo vitafanya kazi.

Wewe mbona kichwa kigumu hivi? Bado huoni tu?
Tatizo hausomi kwa utulivu ili kuelewa, swali lilikuwa kwa nini unachukulia uwezo wa binadamu wa kujifunza na kujirekebisha kuwa ni kinyume na nature, wakati huo uwezo wenyewe ni sehemu ya uwezo wa kibaolojia wa binadamu?
 
Kibaolojia? Hivi una akili timamu wewe?

Au unafikiri a bailiojia ya darasani?
 
Jibu kuhusu dominance tuendelee na kama huna jibu, then jua jibu liko hapohapo. Vingine tunachezea ego tu
our biology doesn’t lock us into one dominance system not bcz its nature but bcz we are flexible, we can change, we can adupt, though biologically men attraction is tied to more than one person(biology ndo nature yenyewe, yaani sisi ni vitombi by nature), our attraction is multi-layered, what feels natural its a mixture of cuture, norms and biology.
 
Mkuu acha kupuyanga

Wanyama na wadudu wanalijua hilo?
 
Mkuu hata zuzu amabe hajasoma anajua? Hizo reasoning ni dances of the mind. Bado huelewi tuu
Wewe ndiyo hauelewi kitu, na ukitaka kujua kuwa haujui kitu angalia unavyojibu.

Jifunze hata kwa mwenzako, yeye anajibu hoja kwa hoja.
 
Nani kakwambia nimesema ukristo? Embu onyesha kwanza niliposema ukristo kabla hatujaendelea. Nimesema mifumo ya serikali, dini na jamii. Unataka kuanzisha mjadala mwingine tena.
Katika hiyo mifumo ya dini, kijamii na serikali ni hapo kwenye dini tu ndio kuna kipengere cha mume mmoja mke mmoja napo ni dini ya kikristo. Mifumo ya kiserikali, jamii, utamaduni na uislamu inatambua ndoa ya wake wengi
Kuishi kama familia hakukumbana mwanaume kuwa na familia nyingi, wanawake wengi. Mifumo ndo ilimbana. Kasome social history.
Tunaongelea familia nyingi au wake wengi? Unajua vizuri polygamy?
Hakuna sehemu nimesema mwanadamu sio social being, nimesema mwadamu aliwekewa mifumo ya limitation katika mwavuli wa famila ili kuwa na access na aweze kutawalika. Sasa hivi serikali haziitaji hilo ili kumcontrol mwanadamu.
Sheria zinawekwa kumlinda mnyonge, ndio maana hata sheria za ndoa ukiziangalia kwa ukaribu unaona zinamlinda zaidi mwanamke. Lakini sheria za kiserikali haziku-invent mfumo wa familia kama madai yako ya hawali. Mtindo wa maisha ya familia ulijiinua wenyewe kwa kufuata natural pattern that's hata hizo sheria zinatambua tamaduni na nature vitu ambavyo vilikuwepo kabla sheria hazijaundwa. Kwahiyo sheria haija-invent nature, ni nature ndio ime-invent sheria
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Wewe ndiyo hauelewi kitu, na ukitaka kujua kuwa haujui kitu angalia unavyojibu.

Jifunze hata kwa mwenzako, yeye anajibu hoja kwa hoja.
Wewe ndo bado huelewei maana mama ya natural biological insticts..

Huyo jamaa anawalea sana
 
Back
Top Bottom