Miaka michache ijayo wadogo na watoto wetu wataoa makahaba wastaafu

ukimchunguza sana bata hauwezi kumla.
 
Hakuna utetezi hapo, Statement ipo too clear.

Huko maporini mifumo haimzuii mtu kuishi kama jogoo na wapo wanaoishi kama jogoo, hiyo haimaanishi hakuna wanaoishi chini ya mwavuli wa familia. Unakataa nini hapo?

Hakuna wanaoishi kama jogoo?
Ulisema mfumo wa familia ulikua invented na sheria za kiserikali. Nikakutalia na kukuambia taasisi ya familia iliibuka kwa kufuata asili ya wanyama ndio maana hata tembo, simba n.k ambao hawana utashi wa kibinadamu au serikali za kuwawekea sheria na wao wanaishi katika mtindo huo huo wa kifamilia. Ndoa ndio sheria ambayo ilitungwa na mamlaka za kiutawala, lakini partnership ya mwanaume na mwanamke hiyo ni nature. Kwa sababu upo kiligi zaidi ukashindwa kukubali hapo ulipuyanga. Ukaja na kisingizio kwamba haukueleweka(kisingizio pendwa cha yule feminist mwenzio uko juu)

Ukagusa suala la polygamy. Nikakuambia suala la kila jinsia kuwa na matamanio mengi ni binafsi hata mwanamke anaweza kutamani wanaume wengi. Lakini ukiangalia sababu za kimaumbile promiscous inamkatilii zaidi mwanamke ndio maana ikawa kawaida kwa mwanaune kuwa na wake wengi, kwa sababu nature aimbani mwanaume tofauti na inavyombana mwanamke.

Sasa suala la hao wanaokaa huko mapolini umekuja kugusa ishu ya civilization. Sawa hakuna sheria uko lakini kuna ustaarabu unaowaongoza. Hawaishi tu kama wanyama. Eti mwanaume kwa sababu kiasili promiscuous inaku-favor basi ndio uende tu ukagonge mke wa mtu au binti wa mtu alafu uachwe tu free haipo hiyo
 
Hakuna sehemu amejibu kwa usahihi, zaidi anaingiza kejeli tu, na mtu wa aina hiyo kwangu mimi huwa namuona kama hajafika kile kiwango cha kufanya mjadala na mimi kwa kutumia hoja zenye mantiki.
Ingekua ni yeye peke ake tu tungeelewa lakini kila mtu anaejitokeza kukujibu kisingizio chako ni hajakuelewa. Halafu watu wengine tukisoma jibu ulilopewa tunaona linajitosheleza
 
Ulisema mfumo wa familia ulikua invented na sheria za kiserikali.
Hili nilishaweka sawa kuwa either nilieleweka vibaya au katika uandishi niliskip kitu muhimu tafsiri ya nilichoandika ikabadiika. Familia haijawa inveted na sheria za serikali. Nilishatolea ufafanuzi, nilichomaanisha ni mifumo(ndoa za kidini, serkali) ipo ili kucontrol
Eti mwanaume kwa sababu kiasili promiscuous inaku-favor basi ndio uende tu ukagonge mke wa mtu au binti wa mtu alafu uachwe tu free haipo hiyo
Wake za watu mbona wapo ambao wanaogongwa tu?

Nature ya mwanaume ni kunyanduana. Sisi tunapenda ngono. Hata kama hutaki kusikia ila tunapenda ngono. kinachodhibiti ni mifumo, utaratibu na maadili otherwise tungenyanduana hadharani bila kujali mifumo sijui ndoa na hichi unachokipigia kelele ni portion tu ya kufeli kwa mifumo inayomcontrol mwanadamu mfano dini.
 
Sasa unataka tuanze kuuliza mwanajf mmoja mmoja. Una tatizo mzee baba. You are not smart as your delusion tells you.
 
Naomba MTU mmoja a post ile picha ya msururu mwanamke kapigwa doggie watu kibao then mtu wa mwisho kabisa ana maua! Ile ni uhalisia kinachojadiliwa humu, Hawa feminist wa kiume wanatia aibu.

Mwanamke usipojichunga ukajiachia msururu wa Wana haijalishi ume reform kiasi gani the damage is done. Hakuna rijali atakubali kuoa mtu mwenye past chafu namna ile ila ndio tumefika huko sasa, na kweli mtoa mada anavosema watoto wetu wataoa makahaba wastaafu. wachache watabahtika.

NB hakuna mwanamke anaesemaga body count yake halisi coz ni fedheha na wengine hata hawakumbuki baada ya namba flani ikawa waletee fungulia goli.
 
Hujawahi nunua spea used Tandale na kufunga kwenye gari mpya?

Bolt na Nuts zikishikana vizuri, poa tu mradi ufike safari.
 
Huu uzi kiliwaka πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…