Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
- Thread starter
-
- #101
Sio kweli kabisa. Mtazamo wako haupo sawa.Mimi nina mawazo tofauti na Wanaume wenzangu. Naamini ni bora kuoa kahaba mstaafu kuliko kuoa bikra anayetegemewa kuwa kahaba akiwa ndani ya ndoa. Ndo maana naamini ndoa ni kwa binti ambaye amemaliza ya duniani na kuamua kupumzika kujenga familia (30+) na mwanaume ambaye ameshatuliza wenge 35+ ili ndoa iwe ni kimbilio la wote.
Ndiyo maana nasemaga ngono ni asilimia chache katika ndoa. Ngono isiwe ni msukumo mkuu wa kufunga ndoa. Ndoa itokane na hitaji la mwenzi, rafiki na ndugu wa maisha yako yote.
Wewe nae umenichambua kwa comment yangu mstari baada ya mstari ila hakuna cha maana ulichojibu ni nonsense tupuHapa umejaribu kuwa mtetezi wa matokeo ya maisha ambayo haujui chanzo chake. I mean wanaume waache kufuata a natural process kwenye jamii ili kujibu trauma ya mabinti wasiojitambua?
Kudhalilisha ni neno pana sana ndani yake kuna dhamira ya kukomoa au kuharibia. So umekiri kuwa nyuzi ni za kuelimishana kama darasa huru,yet unasema wanawake wanadhalilishwa. In other words unajaribu kusema unapenda kuona wanawake wakifunzwa mwenendo mzuri bila kuwajibishwa. Ukikosea katika jamii hauna nafasi ya kujichagulia namna ya kuwa treated,its life teaching you a lesson,take it.
Hii sio kweli,si wanawake wote wana mambo ya hovyo na sidhani kama logically kuna mtu huwa anadhania wanawake wote wapo hivyo.
So unakubaliana na uwepo wa umalaya na ukahaba kama sehemu ya tabia za wanawake,sasa mbona pale juu umesema wanaume wanadhalilisha wanawake kwa kuwasema vibaya,wewe kwako ukahaba na umalaya ni sifa ya kusheherekewa au ya kudhalilishwa nayo?
Oh kwahiyo sasa tuna compare matokeo,yaani "wanaume walifanya na sisi wanawake tunafanya" ππ
Ushawahi sikia ule msemo "never wrestle with a pig in mud,it will be happy you will be dirty" au "usije kimbiza kichaa aliyepora nguo zako mtoni,utaonekana wewe ndie kichaa"
Unadhani kati ya wanaume na wanawake ni yupi ana vingi vya kupoteza kwenye huo umalaya kama wote wakiufanya?π
Anyways endeleeni kwani sisi tumewazuia na akili zenu fupi kama mkia wa mbuzi?π
Unajaribu kutumia kipimo kimoja kupima magonjwa tofauti. Yaani useme sababu za wanaume kuwa na zaidi ya mtu m'moja ni sawa sawa na za mwanamke kuwa na mtu zaidi ya m'moja?
πππ Tena,umegeuka kuwa hauungi aiseeeπππ
Kwanini unahisi ni lazima niombe pesaπ€£Na wewe kwanini hukuomba pesa?
Umeona sasa mwamba akahisi shida zako ndogo ndogo kuna mtu anahudumia,japo mara moja moja uwe unaomba helaKwanini unahisi ni lazima niombe pesaπ€£
Bora kuliko kuoa bikra ambaye ni kahaba mtarajiwaHahaha, kwa hiyo mkuu unaona kabisa its ok ukioa kahaba aliyeacha ukahaba huku ukijua alikuwa kahaba?
Usifikiri kuomba ni rahisi bro we jiongeze tu nitumie π€£π€£Umeona sasa mwamba akahisi shida zako ndogo ndogo kuna mtu anahudumia,japo mara moja moja uwe unaomba hela
Nikushangae kunijaza mawazo yako kichwani kwangu, huo ndiyo ukweli wa mambo. Kwa taarifa yako Tulioa makahaba wastaafu na mpaka leo tunadunda tu.Sio kweli kabisa. Mtazamo wako haupo sawa.
Bora kuliko kuoa bikra ambaye ni kahaba mtarajiwa
Na wanaume wote wananunua sex kutoka kwa hao wanaojiuza. Kwa sababu kama wanaume wangekuwa hawanunui kusingekuwa na wauzaji. Wangemuuzia nani?Ndio tunarudi pale pale kwenye assertion maarufu hapa jf inayosema "wanawake wote wanajiuza, wametofautiana mbinu tu"
Kwenye kujiuza, ukitafuta wasiojiuza including kudanga na kuwa na wapenzi wengi. Inabidi uache kazi ufanye kazi.Ngono ni kawaida tu. Shida ni kujiuza. Mpaka mtu anaamua kujiuza, kuna namna anakuwa hajithamini. Ni wapi anapaswa afundishwe kujithamini? Ni nyumbani!
Mimi naona malezi ya watoto wa kike yaliyopo hayawezi kuwasaidia karne hii. Wanakwezwa sana. Wanapewa upekee wasio nao. Misemo kama; "Mimi mtoto wa kike nashindaje njaa" inahuzunisha sana na kuchekesha zaidi.
Ndio hali halisi na imeshafikia hatua hata baadhi ya wanawake wanaona asiyefanya ana ushamba.Siku moja niliachwa mdomo wazi,vitoto vya 2000 huenda viko form two au three,viko kama vinne, mmoja anamsema mwenzake "muone huyu mshamba eti hataki kumpa boyfriend wake nyuma"
Ikabidi niwapite tu kwa kasi ya Sgr, huku ndipo tulipofikia,kwamba now sex ni kitu cha kawaida kabisa,mpaka watu wanapata ujasiri mpaka kuonana washamba kwenda kinyume na maumbile
Tunakoelekea ni kubaya sana kwakweli
Waache waliobaki enzi hizo waendelee kufikiria Sex bado ni taboo kwa hii generation mpya.Wewe umeongea point, Sex is Fun to women na hakuna hubiri litakalorudisha nyuma nyakati, labda serikali iamue kutohoa mifumo inayobana maadili kuwa jinai.
Kuna mtu aliandika humu JF takwimu za import za vifaa vya ngono Tanzania zipo juu na wateja ni wanawake.
Kahaba mstaafu mbona mbali sana. Mfate tu mama au dada yako mwambie unataka kuoa single mother. Halafu soma body language yakeNdo amekuwa mkeo halafu kapigiwa na mteja wake wa zamani, anamwambiaje? Sitaki Nimestaafu? Mteja akipanda dau?
Kahaba wa zamani ni risky sababu anaweza akakosa skills za kutokuzalisha makahaba wapya kupitia uzao wenu.
Japo mwanadamu sio mti kuwa akisimikwa kitabia habadiliki, lakini kuna risky nyingi. Amebadilika kweli? Anaweza kuwa mama bila kuathiri ndoa yake na historia ya ukahaba wake? Its risky, inabidi uwe na sababu nzuri sana kabla ya kufanya maamuzi ya aina hiyo.
Ukitaka kuamini, mfate mwanamke mwenzake, mtu mzima anayekujali mwambie unataka kuoa mtu ambaye alikuwa kahaba ila kaacha usikie maoni yake.
Hahaha, sasa wewe umekataa kuweka kichwa kwenye mchanga kama mbuni umeamua kuukubali ukweli.Waache waliobaki enzi hizo waendelee kufikiria Sex bado ni taboo kwa hii generation mpya.
Na bahati mbaya wanawake wanapolichukulia kawaida na wanaume watachukulia poa pia. Bado kidogo tu na wanaume wataacha kupata treatment walizoona mama zao wakitoa kwa baba zao. Inaumiza na inasikitisha kwa kuangalia taasisi ya ndoa ikidhoofika maana hatujui kizazi kijacho kitakumbwa na shida zipi zaidi.
Lazima atasita, na atapata na kigugumizi sababu ya risky inayoambatana na maamuzi yako ila exception zipo, sio kila single mother atakataliwa.Kahaba mstaafu mbona mbali sana. Mfate tu mama au dada yako mwambie unataka kuoa single mother. Halafu soma body language yake
Acha kutetea ujinga wewe, me ni mhadhiri chuo flani hapa naona sana yanayoendelea alichokiongea hapo ni ukweli mtupuWambie wanaume wenzio
wasioe kabisa
Ili kukata mzizi wa ftina
Hua mnakuja na nyuzi hizi kama darasa ila kwa upande mwingine mnapenda mnoo kudhalilisha wanawake
Hampendi kutumia ule msemo Baadhi ila wanawake wote ni malaya hakuna msafi aiseeπππππ
Kwenye jamii yoyote ile iwe zamani au sasa umalaya ukahaba ulikuepo
Na umalaya ni wapande mbili wanaume kwa wanawake
Kama baadhi ya wanaume wasingekua malaya umalaya usingekuepo na pia kama baadhi ya wanawake kua malaya ukahaba ungewezekana vipi?
Hii ni tabia chafu mbovu inategemea pande zote za shilingi ajabu mnachagua upande mmoja na kuubebesha mzigo wa lawama
Nb: Siungi mkono hizo tabia za ukahaba
Huyo kila siku akili yake iko hivyo hivyo tu!!! Mpaka kuna wakati nikajiuliza labda Mama yake, Shangazi zake, Dada zake ni malaya kwa hiyo anadhani wanawake wote wako hivyo!!!!!Mkuu tatizo lako una confirmation bias sana, Ku-generalize ni vibaya sana maana mada inaoenekana haina mantiki tena, hata kama tatizo ni kubwa kwa 90% still bado kuna hiyo 10%.
Mfumo wa kuhonga umekithiri sawa, unaweza kuniambia ni nani anayeufanya huo mfumo ukithiri?
Kuna kundi kubwa sana la wanaume ambao huwa wanatoa pesa ili kupata hizo huduma tena huenda wakawa wengi kuliko hao malaya wenyewe, huoni kama na wao wanachochea hiyo tabia kushamiri?
Mbona hausemi kuwa wanaume nao wamekaa kikao cha kutaka kununua mapenzi ili kuwafanya wanawake wawe bidhaa? kwanini unaona kuna tatizo kwa upande wa wanawake tu?
Supplier ndie huwa anaangushiwa jumba bovu. Mnunuaji anaangaliwa kama victim tu. Mfano madawa ya kulevya. Wauzaji wanafungwa, watumiaji wanapelekwa rehabNa wanaume wote wananunua sex kutoka kwa hao wanaojiuza. Kwa sababu kama wanaume wangekuwa hawanunui kusingekuwa na wauzaji. Wangemuuzia nani?