Superhuman 1995
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 1,909
- 3,210
Vile wajinga wanaamini ukifyatua watoto wengi,ndipo baadaye watapata msaada watoto watakapo kuwa wakubwaNa waafrika wasiokua na hela kwenye suala la kufyatua watoto ndio hauwaambii kitu
Vile wajinga wanaamini ukifyatua watoto wengi,ndipo baadaye watapata msaada watoto watakapo kuwa wakubwaNa waafrika wasiokua na hela kwenye suala la kufyatua watoto ndio hauwaambii kitu
Shukran sana kaka angu mzuri🤗Ni jambo jema ikiwa unaendelea salama mdada mzuri…nimeona nikujulie hali tu.
Kama uko na uwezo wa kufyatua wewe fyatua…hakuna cha msaada wala pesa za mtoto,ila amini kila kijacho kipo na baraka zake enoughVile wajinga wanaamini ukifyatua watoto wengi,ndipo baadaye watapata msaada watoto watakapo kuwa wakubwa
Shukran sana kaka angu
Ok,mchana mwema…ila nipo humu humu bado.Shukran sana kaka angu mzuri🤗
Rich simps ni sehemu ya tatizo, lakini tujiulize je wanawake wanakemea hii tabia ya wanaume kuonga hivyo hovyo? Kumekua na muamko mkubwa sana wa wanaume ku-expose hii trend ya wanawake ya give sex-get money, pamoja na kuwachana live masimpSahihi kabisa, kuna jambo pia huwa najiuliza, vipi kuhusu wanaume ambao huwa wanatoa pesa ili kupata hizo huduma, je hawachochei hiyo tabia kuongezeka kwa namna moja ama nyingine?
Shirima kaingiaje. Hapo upo sawa au ushakunywa visungura???Natumai hapa ☝️ ulitaka kumaanisha Shirima, right?
Kusubiria wanawake mabinti wakemee au wakatae tabia ya wanaume kuhonga ni sawa na kusubiria meli stendi ya Mbezi au kusubiria tume mpya na katiba mpya kutoka kwa CCM.Rich simps ni sehemu ya tatizo, lakini tujiulize je wanawake wanakemea hii tabia ya wanaume kuonga hivyo hovyo? Kumekua na muamko mkubwa sana wa wanaume ku-expose hii trend ya wanawake ya give sex-get money, pamoja na kuwachana live masimp
Lakini hatuoni wanawake wanaokemea wanaume waongaji na wanawake gold diggers(isipokua tu pale masilahi yao yanapoguswa).
Sisi hata tukikesha hapa jf kukemea hiyo tabia unayoiongelea lakini kama wanawake wenyewe hawaoni ubaya wa kuongwa tutakua tunafanya kazi bure
Asante nawe piaOk,mchana mwema…ila nipo humu humu bado.
Ndio tunarudi pale pale kwenye assertion maarufu hapa jf inayosema "wanawake wote wanajiuza, wametofautiana mbinu tu"Kusubiria wanawake mabinti wakemee au wakatae tabia ya wanaume kuhonga ni sawa na kusubiria meli stendi ya Mbezi au kusubiria tume mpya na katiba mpya kutoka kwa CCM.
Hapa umejaribu kuwa mtetezi wa matokeo ya maisha ambayo haujui chanzo chake. I mean wanaume waache kufuata a natural process kwenye jamii ili kujibu trauma ya mabinti wasiojitambua?Wambie wanaume wenzio
wasioe kabisa
Ili kukata mzizi wa ftina
Kudhalilisha ni neno pana sana ndani yake kuna dhamira ya kukomoa au kuharibia. So umekiri kuwa nyuzi ni za kuelimishana kama darasa huru,yet unasema wanawake wanadhalilishwa. In other words unajaribu kusema unapenda kuona wanawake wakifunzwa mwenendo mzuri bila kuwajibishwa. Ukikosea katika jamii hauna nafasi ya kujichagulia namna ya kuwa treated,its life teaching you a lesson,take it.Hua mnakuja na nyuzi hizi kama darasa ila kwa upande mwingine mnapenda mnoo kudhalilisha wanawake
Hii sio kweli,si wanawake wote wana mambo ya hovyo na sidhani kama logically kuna mtu huwa anadhania wanawake wote wapo hivyo.Hampendi kutumia ule msemo Baadhi ila wanawake wote ni malaya hakuna msafi aisee🙌🙌🙌🙌🙌
So unakubaliana na uwepo wa umalaya na ukahaba kama sehemu ya tabia za wanawake,sasa mbona pale juu umesema wanaume wanadhalilisha wanawake kwa kuwasema vibaya,wewe kwako ukahaba na umalaya ni sifa ya kusheherekewa au ya kudhalilishwa nayo?Kwenye jamii yoyote ile iwe zamani au sasa umalaya ukahaba ulikuepo
Oh kwahiyo sasa tuna compare matokeo,yaani "wanaume walifanya na sisi wanawake tunafanya" 😂😂Na umalaya ni wapande mbili wanaume kwa wanawake
Kama baadhi ya wanaume wasingekua malaya umalaya usingekuepo na pia kama baadhi ya wanawake kua malaya ukahaba ungewezekana vipi?
Unajaribu kutumia kipimo kimoja kupima magonjwa tofauti. Yaani useme sababu za wanaume kuwa na zaidi ya mtu m'moja ni sawa sawa na za mwanamke kuwa na mtu zaidi ya m'moja?Hii ni tabia chafu mbovu inategemea pande zote za shiringi ajabu mnachagua upande mmoja na kuubebesha mzigo wa lawama
😂😂😂 Tena,umegeuka kuwa hauungi aiseee😂😂😂Nb: Siungi mkono hizo tabia za ukahaba
Mkuu tatizo lako una confirmation bias sana, Ku-generalize ni vibaya sana maana mada inaoenekana haina mantiki tena, hata kama tatizo ni kubwa kwa 90% still kuna hiyo 10%.Ujumuishwaji huwa unafanyika pale ambapo pande moja inaonekana imechukua nafasi kubwa zaidi mfano ukisema Tanzania ni nchi masikini haimaniishi kwamba raia wake wote ni masikini.
Tukisema baadhi maana yake ni wachache sana. Kitu ambacho ukionagalia uhalisia unaoana sio kweli. Hali ya sasa ni kama wanawake walikaa kikao wakakubaliana sasa waingie kwenye mtindo wa maisha wa relationship monetization.
Watu wanavyosema wanawake wote wanajiuza wametofautiana mbinu tu. Usifikiri ni wajinga. Jaribu kukemea suala la mwanaume kumoa hela mwanamke badala yake kila mmoja abaki na hela zake au kila mmoja ampe mwenzake hela. Wanawake hao hao wanaosema hawauzi(direct au indirect) ndio watakaokupinga.
Ukiwasikiliza wanawake watakupoteza. Usisikilize maneno ya wanawake, angalia matendo yao
Na wewe kwanini hukuomba pesa?Kwenu wanaume hakuna tabu 😅
Kazi kwetu wanawake hata uki m date mtu ukiwa humble usi mpe presure ya maswala kama pesa anaanza kuona tena una mtu mwingine🤣🤣
Niliwahi date na mtu kwa kua sikua namuomba pesa akahisi nina mtu mwingine tena aliniuliza kabisa live
kwanini huniombi pesa ?
Hujawahi kuitaji?
Au una mtu wako anakuhudumia?
Aisee nilichoka sana 🙌
Kwamba lazima nikuombe pesa?
Kama unahisi nina uhitaji si unipe uone kama nitakataa au lah🤣
Hapa nikajisema sio kwamba sisi wanawake hatujui tunachotaka
Ila baadhi ya wanaume pia naona hajui wanachotaka
Watu wana mindset za kijima sana.Kwenu wanaume hakuna tabu 😅
Kazi kwetu wanawake hata uki m date mtu ukiwa humble usi mpe presure ya maswala kama pesa anaanza kuona tena una mtu mwingine🤣🤣
Niliwahi date na mtu kwa kua sikua namuomba pesa akahisi nina mtu mwingine tena aliniuliza kabisa live
kwanini huniombi pesa ?
Hujawahi kuitaji?
Au una mtu wako anakuhudumia?
Aisee nilichoka sana 🙌
Kwamba lazima nikuombe pesa?
Kama unahisi nina uhitaji si unipe uone kama nitakataa au lah🤣
Hapa nikajisema sio kwamba sisi wanawake hatujui tunachotaka
Ila baadhi ya wanaume pia naona hajui wanachotaka
Wewe umeongea point, Sex is Fun to women na hakuna hubiri litakalorudisha nyuma nyakati, labda serikali iamue kutohoa mifumo inayobana maadili kuwa jinai.Zamani wanaume walikuwa free kwenye sex na wanawake wakiiona kama taboo. Mambo ya kutunza bikra na kutokutumika.
Leo hii watu hawaulizii bikra ila wanaangalia kama binti ana mtoto.
Hii ikupe picha tu, ule mstari ambao jamii uliiweka au kupandikiza ideologies kuwa sexual freedom kwa wanawake ni mbaya sana. Umeshaanza kufutika na kwa sasa hata bila pesa. Wanawake wengi wameanza kuchukulia sex kama fun pia kwa hiyo unachokiona ndicho kitakachotokea
Sahihi , umefafanua vyema sana Mkuu.Au inawezekana kuwa shida sio uchumi kuwa mgumu bali vipaumbele vyao vimebadilika. Kwa mfano mwaka 1930 hadi 1960 mwanaume hakuhitaji Brevis, iphone, apartment ya vyumba 3, milioni 50 au zaidi account ya benki na kipato cha shilingi kuazia milioni 3 kwenda juu ili kumfanya mwanamke achanganyikiwe kumuona na kutamani amtongoze na kumchumbia.
I mean wanawake wa sasa wameweka standards ambazo kiuhalisia ni ngumu kwa mwanaume wa kawaida mwenye ukuaji wa kawaida na wa afya kiuchumi kuweza kuziattain ndio maana wanaishia kukutana na wezi wa mali za uma, wauza ngada, matapeli,wanaume za watu ambao ni rika la baba zao au vijana waliorithishwa mali na familia zao.
Kimsingi ni ngumu kureason na reality kama maisha yako unayafanya kama maigizo ya movie.
Uchumi haujasema uwe na million ndipo uishi,uchumi umeweka standards ambazo wenye kuzimudu wataishi humo,hiyo ni kawaida kabisa katika maisha.
Tatizo ni kuwa na wanawake wanaojivisha standards za daraja la kwanza la maisha wakati wao wapo daraja la tano la maisha.
Hawa wanaume wanaowakataa ni husband materials na hawana shida yoyote na katika kizazi cha wanaume walioanza kufanikiwa mapema katika hali ngumu basi ni cha hawa vijana uzao wa kuanzia 1980. Wanamiliki na kuwa na maisha ambayo kwa nyakati hizi ni wamejitahidi sana.
Shida tuna wanatake very entitled na wasiojua lolote kuhusu maisha. Imagine mtu akikutana na wewe anakuonyesha kuwa yeye hali vyakula vya kawaida kama ugali maharage,ugali dagaa matembele,hawali mihogo,na lazima atoke kila weekend, kila siku ale anachotaka kutoka mtandaoni ambavyo gharama yake huanzia 15,000 kwenda juu.
Hawataki kujishughulisha wakiwa na mwanaume ila anataka apange matumizi na kufilisi pesa ya mwanaume wake.
Hawajui wanachotaka yet wana mashariti ya vitu vingi wanavyotaka kufanyiwa na mtu m'moja. Hawapendi kuongozwa yet hawana direction ya maana kuhusu maisha na kila siku wanahoji kwanini hawaelekezwi.
Nadhani dawa ni kuwaacha walalie kitanda wanachokitandika. Tukianza kuongea lugha moja,maybe wataanza kurudi mstarini.
Siku moja niliachwa mdomo wazi,vitoto vya 2000 huenda viko form two au three,viko kama vinne, mmoja anamsema mwenzake "muone huyu mshamba eti hataki kumpa boyfriend wake nyuma"Zamani wanaume walikuwa free kwenye sex na wanawake wakiiona kama taboo. Mambo ya kutunza bikra na kutokutumika.
Leo hii watu hawaulizii bikra ila wanaangalia kama binti ana mtoto.
Hii ikupe picha tu, ule mstari ambao jamii uliiweka au kupandikiza ideologies kuwa sexual freedom kwa wanawake ni mbaya sana. Umeshaanza kufutika na kwa sasa hata bila pesa. Wanawake wengi wameanza kuchukulia sex kama fun pia kwa hiyo unachokiona ndicho kitakachotokea
Kabla ya mtu kuwa kiongozi ni lazima awe nawa kumuongoza,kama huwezi kuwa dereva bila gari vivo hivyo huwezi kuwa kiongozi bila mtu au watu wa kuwaongoza. Wanawake wa sasa hawapendi kuongozwa na hilo lipo wazi ndio maana matatizo mengi wanayokutana nayo ni matokeo ya uzembe wao na viburi vya kujiamulia maisha wanayotaka.Wanaume ndiyo viongozi na wenye kuwa na mamlaka kwenye mambo mengi
Hii ishu mpaka inakuwa hivi tatizo ni la wanaume ambao hawajitambui ndiyo wanazalisha huo Malaya sijui ukahaba,
Sababu zinajulikana ni kwamba men date down women date up. Wanaume huvitiwa na wanawake wadogo na wabichi wakati wanawake huvutiwa na wanaume wakubwa na wenye experience ya maishani na uwezo.Huyo mubaba kinachomfanya asitulie na mkewe ni nn ??? Kuna wanawake Rika la huyo mubaba anaweza date nao ambapo Kuna wajane, watalaka, ambao wameachwa na chungu nzima ya kina mama,
Hapa sijaelewa ni mwanaume analaumiwa au binti sasa?Ukweli naoujua mwanamke mwenye akili timamu akiona jambo haliwezi atajiengua
Mtu hujapata mkopo wa chuo, nyumbani hawana hela utaendaje chuo kichwa kichwa ?? Kama sio kwenda kudanga??
What happens in Vegas stays in Vegas. Ulimwengu wa umalaya kwa anaeingia kwa hiyari yake akitoka matokeo yake atawajibika nayo mwenyewe.Maadili yanaweza kusaidia endapo mtoto husika anajitambua wapo watu wamelelewa kwenye familia Bora zenye ukwasi, za kati za chini hata masikini na wakawa na maadili Ila ikiwa alijivika ngozi ya kondoo hamna kitu
Binafsi sinunui mwanamke ana shida ntampatia hitaji na sio hela
Wakulaumiwa tunaanza na sisi me ndo wateja wao