Ni mbaya sana, kwa sasa nadhani kila mzazi ajikite kwenye kumuandalia mtoto/watoto wake mazingira mazuri from the scratch.Yap., madogo wamejikuta wamenasa kwenye mfumo ambao tayari umeshavulugwa na watangulizi wao
Una wenge sana jamaa yanguHiki kitabu chako cha tamthiliya unakiuza kwa shilingi ngapi? I mean hard copy 😎.
🤣🤣🤣🤣Hiki kitabu chako cha tamthiliya unakiuza kwa shilingi ngapi? I mean hard copy 😎.
Ndio kwa sababu hata kama maadili yame poromoka kwa kiwango kikubwaItapendeza na kuleta maana zaidi hilo neno likiwa linatumika kwenye nyuzi za aina hii.
Ni kweli mkuu. Ku-maintain ile status quo ya soft life sio rahisi mtu akakubali kuwa mama lishe au kutembeza matunda mtaani. Hata kama akipewa mtajiWakati mwingine haya mambo huwa yanatokea kwa sababu ya tamaa zao tu. Sidhani kama ni kujiuza ndio suluhisho la matatizo na akishakuwa muuzaji mzoefu hata matumizi ya hela yanakuwa hayana mpangilio mzuri.
Tamaa ya kwenda na fashion wakali uhalisia wa maisha haupo kama unavyotaka. Kimsingi hata kama watapewa mahitaji ya yote ya msingi lakini kujifanya kutaka kwenda na wakati kutawafanya waendelee na hizo tabia zao tu
Jamaa kaja na diwani ya mloka.Una wenge sana jamaa yangu
Nime kulike brother semenyaMtu aLike post yangu ije notification huu uzi nije kusoma baadae
Na waafrika wasiokua na hela kwenye suala la kufyatua watoto ndio hauwaambii kituHili ni tatizo la wazazi kuzaa watoto wasioweza kuwahudumia na kuwatimizia mahitaji yao mpaka wafikie kuweza kujitegemea wenyewe.
Swali zuriKwa nini "mubaba" hawatulii na wake zao badala yake wanaenda kuvizia mabinti wa chuo??
Ndio hivyo, watu wanahamasishana kuzaa kwa kasi bila kujua hao wanaowazaa kama hawa mabinti watuhudumiwa na nani.Na waafrika wasiokua na hela kwenye suala la kufyatua watoto ndio hauwaambii kitu
Sahihi kabisa, kuna jambo pia huwa najiuliza, vipi kuhusu wanaume ambao huwa wanatoa pesa ili kupata hizo huduma, je hawachochei hiyo tabia kuongezeka kwa namna moja ama nyingine?Ndio kwa sababu hata kama maadili yame poromoka kwa kiwango kikubwa
Wanawake wazuri na wanaofaa kwa utulivu kwa mwanaume na kujenga future bado wapo
Wanaume wazuri wanaofaa kwa familia bora wapo tena wapo na wapo naamini wanaume hawawezi kua wabaya wote
Kitu kibaya ni mtu kutaka mwenzi mkamilifu jambo lisilowezekana
Hili neno Baadhi mimi pia nitajitahidi kulitumia kwa mada kama hizi 🙏🙏🙏
Matunda, perfume,karanga,ndizi, juice na other small business kwa wadada ni mtindo mpya wa kufanya umalaya hii utakufanya umuone hustle kumbe nyuma ya pazia kuna black 🐈⬛ prostitute.......Ufuska mara nyingi ni akili ya mtu tu mkuu wala sio kipato.
Kuna mademu wanatembeza hata matunda mjini ukiwaona ni heri hawa kuliko wa "nakuja ila nadaiwa hela ya kikoba"
Daah,bongo Kila kitu Kwa mdada ni umalaya🙌Matunda, perfume,karanga,ndizi, juice na other small business kwa wadada ni mtindo mpya wa kufanya umalaya hii utakufanya umuone hustle kumbe nyuma ya pazia kuna black 🐈⬛ prostitute.......
Wanachochea sana tena sanaSahihi kabisa, kuna jambo pia huwa najiuliza, vipi kuhusu wanaume ambao huwa wanatoa pesa ili kupata hizo huduma, je hawachochei hiyo tabia kuongezeka kwa namna moja ama nyingine?
Just imagine anaejifanyia ka biashara kadogo nae malaya 🙌🙌Daah,bongo Kila kitu Kwa mdada ni umalaya🙌