Miaka michache ijayo wadogo na watoto wetu wataoa makahaba wastaafu

Miaka michache ijayo wadogo na watoto wetu wataoa makahaba wastaafu

Wambie wanaume wenzio
wasioe kabisa
Ili kukata mzizi wa ftina

Hua mnakuja na nyuzi hizi kama darasa ila kwa upande mwingine mnapenda mnoo kudhalilisha wanawake

Hampendi kutumia ule msemo Baadhi ila wanawake wote ni malaya hakuna msafi aisee🙌🙌🙌🙌🙌

Kwenye jamii yoyote ile iwe zamani au sasa umalaya ukahaba ulikuepo

Na umalaya ni wapande mbili wanaume kwa wanawake
Kama baadhi ya wanaume wasingekua malaya umalaya usingekuepo na pia kama baadhi ya wanawake kua malaya ukahaba ungewezekana vipi?

Hii ni tabia chafu mbovu inategemea pande zote za shiringi ajabu mnachagua upande mmoja na kuubebesha mzigo wa lawama

Nb: Siungi mkono hizo tabia za ukahaba
ShesRise_1
 
Itapendeza na kuleta maana zaidi hilo neno likiwa linatumika kwenye nyuzi za aina hii.
Ujumuishwaji huwa unafanyika pale ambapo pande moja inaonekana imechukua nafasi kubwa zaidi mfano ukisema Tanzania ni nchi masikini haimaniishi kwamba raia wake wote ni masikini.

Tukisema baadhi maana yake ni wachache sana. Kitu ambacho ukionagalia uhalisia unaoana sio kweli. Hali ya sasa ni kama wanawake walikaa kikao wakakubaliana sasa waingie kwenye mtindo wa maisha wa relationship monetization.

Watu wanavyosema wanawake wote wanajiuza wametofautiana mbinu tu. Usifikiri ni wajinga. Jaribu kukemea suala la mwanaume kumpa hela mwanamke badala yake kila mmoja abaki na hela zake au kila mmoja ampe mwenzake hela. Wanawake hao hao wanaosema hawauzi(direct au indirect) ndio watakaokupinga.

Ukiwasikiliza wanawake watakupoteza. Usisikilize maneno ya wanawake, angalia matendo yao
 
Hali ni mbaya sana.
Kwenu wanaume hakuna tabu 😅

Kazi kwetu wanawake hata uki m date mtu ukiwa humble usi mpe presure ya maswala kama pesa anaanza kuona tena una mtu mwingine🤣🤣

Niliwahi date na mtu kwa kua sikua namuomba pesa akahisi nina mtu mwingine tena aliniuliza kabisa live
kwanini huniombi pesa ?
Hujawahi kuitaji?
Au una mtu wako anakuhudumia?

Aisee nilichoka sana 🙌
Kwamba lazima nikuombe pesa?
Kama unahisi nina uhitaji si unipe uone kama nitakataa au lah🤣

Hapa nikajisema sio kwamba sisi wanawake hatujui tunachotaka
Ila baadhi ya wanaume pia naona hajui wanachotaka
 
Watu wameoa makahaba tangu 88_97 mpaka Sasa

Ukichungulia baadhi ya nyumba nyingi wamama wanawatu wao tofauti na waume zao wa ndoa na hata wanaume nao wenye wake zao na wao vile vile , Malaya , na wao wanapiga sana kisela wake za watu

Maisha hayana upande mmoja
 
Ninachokiona kwenye hii simulizi ni tatizo la mfumo wa kiuchumi kushindwa kuwapa vijana ajira na fursa za kujiingizia kipato.
Au inawezekana kuwa shida sio uchumi kuwa mgumu bali vipaumbele vyao vimebadilika. Kwa mfano mwaka 1930 hadi 1960 mwanaume hakuhitaji Brevis, iphone, apartment ya vyumba 3, milioni 50 au zaidi kwenye account ya benki na kipato cha shilingi kuazia milioni 3 kwenda juu kila mwezi ili kumfanya mwanamke achanganyikiwe kumuona na kutamani amtongoze na kumchumbia.

I mean wanawake wa sasa wamejiwekea standards ambazo kiuhalisia ni ngumu kwa mwanaume wa kawaida mwenye ukuaji wa kawaida na wa afya wa kiuchumi kuweza kuziattain ndio maana wanaishia kukutana na wezi wa mali za serikalini, wauza ngada, matapeli,wanaume za watu ambao ni rika la baba zao au vijana waliorithishwa mali na familia zao.

Kimsingi ni ngumu kureason na reality kama maisha yako unayafanya kama maigizo ya movie.

Uchumi haujasema uwe na million ndipo uishi,uchumi umeweka standards ambazo wenye kuzimudu wataishi humo,hiyo ni kawaida kabisa katika maisha.

Tatizo ni kuwa na wanawake wanaojivisha standards za daraja la kwanza la maisha wakati wao wapo daraja la tano la maisha.

Hawa wanaume wanaowakataa ni husband materials na hawana shida yoyote na katika kizazi cha wanaume walioanza kufanikiwa mapema katika hali ngumu basi ni cha hawa vijana uzao wa kuanzia 1980. Wanamiliki na kuwa na maisha ambayo kwa nyakati hizi ni wamejitahidi sana.

Shida tuna wanawake very entitled na wasiojua lolote kuhusu maisha. Imagine mtu akikutana na wewe anakuonyesha kuwa yeye hali vyakula vya kawaida kama ugali maharage,ugali dagaa matembele,hawali mihogo,na lazima atoke kila weekend, kila siku ale anachotaka kutoka mtandaoni ambavyo gharama yake huanzia 15,000 kwenda juu.

Lakini mwanamke huyo huyo akikaa na wenzake anakula hadi nyanya chungu zilizochemshwa na chumvi tu anazila kwa ugali wa sembe. Huyu sasa yupo serious na maisha kweli?

Hawataki kujishughulisha wakiwa na mwanaume ila anataka apange matumizi na kufilisi pesa ya mwanaume wake.

Hawajui wanachotaka yet wana mashariti ya vitu vingi wanavyotaka kufanyiwa na mtu m'moja. Hawapendi kuongozwa yet hawana direction ya maana kuhusu maisha na kila siku wanahoji kwanini hawaelekezwi.

Nadhani dawa ni kuwaacha walalie kitanda wanachokitandika. Tukianza kuongea lugha moja,maybe wataanza kurudi mstarini.
 
Au inawezekana kuwa shida sio uchumi kuwa mgumu bali vipaumbele vyao vimebadilika. Kwa mfano mwaka 1930 hadi 1960 mwanaume hakuhitaji Brevis, iphone, apartment ya vyumba 3, milioni 50 au zaidi account ya benki na kipato cha shilingi kuazia milioni 3 kwenda juu ili kumfanya mwanamke achanganyikiwe kumuona na kutamani amtongoze na kumchumbia.

I mean wanawake wa sasa wameweka standards ambazo kiuhalisia ni ngumu kwa mwanaume wa kawaida mwenye ukuaji wa kawaida na wa afya kiuchumi kuweza kuziattain ndio maana wanaishia kukutana na wezi wa mali za uma, wauza ngada, matapeli,wanaume za watu ambao ni rika la baba zao au vijana waliorithishwa mali na familia zao.

Kimsingi ni ngumu kureason na reality kama maisha yako unayafanya kama maigizo ya movie.

Uchumi haujasema uwe na million ndipo uishi,uchumi umeweka standards ambazo wenye kuzimudu wataishi humo,hiyo ni kawaida kabisa katika maisha.

Tatizo ni kuwa na wanawake wanaojivisha standards za daraja la kwanza la maisha wakati wao wapo daraja la tano la maisha.

Hawa wanaume wanaowakataa ni husband materials na hawana shida yoyote na katika kizazi cha wanaume walioanza kufanikiwa mapema katika hali ngumu basi ni cha hawa vijana uzao wa kuanzia 1980. Wanamiliki na kuwa na maisha ambayo kwa nyakati hizi ni wamejitahidi sana.

Shida tuna wanatake very entitled na wasiojua lolote kuhusu maisha. Imagine mtu akikutana na wewe anakuonyesha kuwa yeye hali vyakula vya kawaida kama ugali maharage,ugali dagaa matembele,hawali mihogo,na lazima atoke kila weekend, kila siku ale anachotaka kutoka mtandaoni ambavyo gharama yake huanzia 15,000 kwenda juu.

Hawataki kujishughulisha wakiwa na mwanaume ila anataka apange matumizi na kufilisi pesa ya mwanaume wake.

Hawajui wanachotaka yet wana mashariti ya vitu vingi wanavyotaka kufanyiwa na mtu m'moja. Hawapendi kuongozwa yet hawana direction ya maana kuhusu maisha na kila siku wanahoji kwanini hawaelekezwi.

Nadhani dawa ni kuwaacha walalie kitanda wanachokitandika. Tukianza kuongea lugha moja,maybe wataanza kurudi mstarini.
Shida pia ni umasikini wa wazazi na wanaume walio tayari kulipia au kununua huduma ya mapenzi na ngono kutoka kwa mabinti wasio wake zao.
 
Back
Top Bottom