Miaka mitano baada ya kumaliza chuo, hatimaye naenda kwenye mshahara wa Milioni 6, bado siamini, nawaza sana

Miaka mitano baada ya kumaliza chuo, hatimaye naenda kwenye mshahara wa Milioni 6, bado siamini, nawaza sana

Kwanza hongera ila cha kukushauri tu
Usianze kununua nepi kabla mtoto hajazaliwa maana anaeweza kufa pia

Kufanikiwa kwako kuna wengine inawauma na jicho la hasidi lipo
Pambana kimya kimya na umshukuru Mungu sana wala usiwabeze makanjibai kwani nao walikulipa mshahara kwa makubaliano

Hujapasua bado kwani binadamu hatupangi maisha ila yanakuja yenyewe
La mwisho ni Confirm msomi
Hili alipaswa kulizingatia kabla haja post.Sio kitu kizuri kabisaa hiki kwa ustawi wa maisha yake.Binadam ni wabaya sanaaaaaa....
 
Kuna zile ndoto unaweza kuwa unaota katika kuota huko unaweza hadi kupost thread JF lakini baadae ukistuka unashangaa sana
Evilspirit. Kijana namfahamu huko Kwa makanjibai mie ndie nilimwambia atume CV na kweli alinishukuru baada yakupata kazi. Hii net stage sijui nikweli au laa.
 
Back
Top Bottom