Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Hongera sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenena mkuu tuna Taifa la vijana wajinga sana ,badala ya kuwaza ubunifu kazini anawaza kuhusu mademuSababu kubwa ya wazee kuendelea kulamba teuzi huku wamestaafu ni vijana kushindwa kuwa na vifua vya kuhifadhi mambo.. pia vijana kushangilia ushindi wakati mechi bado haijaisha. Hebu kijana tuliza hizo hisia zako... subiri hadi uanze kazi kwanza. Halafu kingine huo mshahara kama utapata utumie vizuri kwa ajili yako na familia yako. Mambo ya kuwaza kumuoshea Ex ni upumbavu mtupu. NINASISITIZA TENA uwe mkimya na msiri. Kitendo cha kutuanikia mishahara yako kinaashiria wewe ni kijana wa hovyo.
Usisahau kutoa ZAKA kwa Mungu wa kweli kila fedha unazopata ni ulinzi juu ya Maisha yako na kazi yako .Baada yakumaliza chuo 2018, degree ya Mechanical engineering, nilipata internship kiwanda kimojawapo Cha bia mjini Dar es Salaam. Nikafanya kazi kwa miaka 2, Kwa posho ya laki 4 Kwa mwezi. Kisha baada yahapo 02/2020 nikapata kazi kwa makanjibai kiwanda kimojawapo Cha COSMETICS Kwa mshahara wa mil 1.2 .
Sasa Mungu sio wa kanjibai, nimefanya Interview nakampuni Moja ya madini kutoka AUSTRALIA week 2 nyuma, Sasa wameniconferm Jana, niende kituo Cha kazi huko Geita ,mwezi ujao, hapa nilipo nahisi kama naota vile.
Naona siku kama haziendi niende nikalipoti, nahisi kama Jamaa wanaweza ahirisha vile, nawaza namna gani maisha yangu yanaenda kubadilika, nawaza namna gani naenda kuitoa familia yangu kwenye umasikini baada yakufanya biashara ndogondogo nikiwa chuo, nahatimae baadae zikaja kuanguka. Nawaza miradi gani Nije nifanye hapo baadae, nawaza usafiri gani ntakuja kununua.
Nawaza zile haso zakwenda Dodoma Kila mara kwenye interview ndio zimeisha au, nawaza safari zakwenda nje ya nchi kwenye training mbalimbali kama walivyoniahidi.
Nawaza Dem wangu niliekua nampenda nakujitoa Kwa Kila kitu kwake ambae tulikua tunakaribiana mshahara yeye akiwa anapokea mil 1. Mie nikiwa napokea mil 1.2 alivyonipiga chini nakwenda kuolewa najamaa mwenye mwenye maisha mazuri kuliko Mimi, atanionaje nakile kigari Cha Jamaa yake kilichochoka choka.
Nawaza Sana aisee hivi ndio naondoka kwenye kundi la MAKAPUKU au vipi?.
Aisee wakuu tuendelee kumuomba Mungu Sana, maana hii kazi niloomba tu huko LINKEDIN bila kujuana na mtu yeyote.
Bado nawaza Sana na nahisi kama ndoto.
Wapiganaji wenzangu tusichoke tuendelee kupambana.
Atalia Mtu Sasa HiviLipia Tangazo.
Umeongea kitu nilichotaka kuongea Ni ishu ya emotional intelligence. Yaani the guy is really overwhelmed by his euphoria and pleasure plus dopamine at work has released in large amount together with revenge and ego boosting.Sababu kubwa ya wazee kuendelea kulamba teuzi huku wamestaafu ni vijana kushindwa kuwa na vifua vya kuhifadhi mambo.. pia vijana kushangilia ushindi wakati mechi bado haijaisha. Hebu kijana tuliza hizo hisia zako... subiri hadi uanze kazi kwanza. Halafu kingine huo mshahara kama utapata utumie vizuri kwa ajili yako na familia yako. Mambo ya kuwaza kumuoshea Ex ni upumbavu mtupu. NINASISITIZA TENA uwe mkimya na msiri. Kitendo cha kutuanikia mishahara yako kinaashiria wewe ni kijana wa hovyo.
Aliona ajisifie ila kama amewabeza na vijiweni na jamaa zake basi Mungu amsaidieHili alipaswa kulizingatia kabla haja post.Sio kitu kizuri kabisaa hiki kwa ustawi wa maisha yake.Binadam ni wabaya sanaaaaaa....
Nimelitafuta kwenye kamusiWame comferm na unaenda Kulipoti, hongera ndugu fundi makenika huko mgodini.
Mikoani kuna deals kibao,wale wanaobanana mjini waache watesekeBaada yakumaliza chuo 2018, degree ya Mechanical engineering, nilipata internship kiwanda kimojawapo Cha bia mjini Dar es Salaam. Nikafanya kazi kwa miaka 2, Kwa posho ya laki 4 Kwa mwezi. Kisha baada yahapo 02/2020 nikapata kazi kwa makanjibai kiwanda kimojawapo Cha COSMETICS Kwa mshahara wa mil 1.2 .
Sasa Mungu sio wa kanjibai, nimefanya Interview nakampuni Moja ya madini kutoka AUSTRALIA week 2 nyuma, Sasa wameniconferm Jana, niende kituo Cha kazi huko Geita ,mwezi ujao, hapa nilipo nahisi kama naota vile.
Naona siku kama haziendi niende nikalipoti, nahisi kama Jamaa wanaweza ahirisha vile, nawaza namna gani maisha yangu yanaenda kubadilika, nawaza namna gani naenda kuitoa familia yangu kwenye umasikini baada yakufanya biashara ndogondogo nikiwa chuo, nahatimae baadae zikaja kuanguka. Nawaza miradi gani Nije nifanye hapo baadae, nawaza usafiri gani ntakuja kununua.
Nawaza zile haso zakwenda Dodoma Kila mara kwenye interview ndio zimeisha au, nawaza safari zakwenda nje ya nchi kwenye training mbalimbali kama walivyoniahidi.
Nawaza Dem wangu niliekua nampenda nakujitoa Kwa Kila kitu kwake ambae tulikua tunakaribiana mshahara yeye akiwa anapokea mil 1. Mie nikiwa napokea mil 1.2 alivyonipiga chini nakwenda kuolewa najamaa mwenye mwenye maisha mazuri kuliko Mimi, atanionaje nakile kigari Cha Jamaa yake kilichochoka choka.
Nawaza Sana aisee hivi ndio naondoka kwenye kundi la MAKAPUKU au vipi?.
Aisee wakuu tuendelee kumuomba Mungu Sana, maana hii kazi niloomba tu huko LINKEDIN bila kujuana na mtu yeyote.
Bado nawaza Sana na nahisi kama ndoto.
Wapiganaji wenzangu tusichoke tuendelee kupambana.
NAKAZIA HAPA.Sababu kubwa ya wazee kuendelea kulamba teuzi huku wamestaafu ni vijana kushindwa kuwa na vifua vya kuhifadhi mambo.. pia vijana kushangilia ushindi wakati mechi bado haijaisha. Hebu kijana tuliza hizo hisia zako... subiri hadi uanze kazi kwanza. Halafu kingine huo mshahara kama utapata utumie vizuri kwa ajili yako na familia yako. Mambo ya kuwaza kumuoshea Ex ni upumbavu mtupu. NINASISITIZA TENA uwe mkimya na msiri. Kitendo cha kutuanikia mishahara yako kinaashiria wewe ni kijana wa hovyo.
Kote umewaza Sawa Ila umekuja kupuyanga hapa.Baada yakumaliza chuo 2018, degree ya Mechanical engineering, nilipata internship kiwanda kimojawapo Cha bia mjini Dar es Salaam. Nikafanya kazi kwa miaka 2, Kwa posho ya laki 4 Kwa mwezi. Kisha baada yahapo 02/2020 nikapata kazi kwa makanjibai kiwanda kimojawapo Cha COSMETICS Kwa mshahara wa mil 1.2 .
Sasa Mungu sio wa kanjibai, nimefanya Interview nakampuni Moja ya madini kutoka AUSTRALIA week 2 nyuma, Sasa wameniconferm Jana, niende kituo Cha kazi huko Geita ,mwezi ujao, hapa nilipo nahisi kama naota vile.
Naona siku kama haziendi niende nikalipoti, nahisi kama Jamaa wanaweza ahirisha vile, nawaza namna gani maisha yangu yanaenda kubadilika, nawaza namna gani naenda kuitoa familia yangu kwenye umasikini baada yakufanya biashara ndogondogo nikiwa chuo, nahatimae baadae zikaja kuanguka. Nawaza miradi gani Nije nifanye hapo baadae, nawaza usafiri gani ntakuja kununua.
Nawaza zile haso zakwenda Dodoma Kila mara kwenye interview ndio zimeisha au, nawaza safari zakwenda nje ya nchi kwenye training mbalimbali kama walivyoniahidi.
Nawaza Dem wangu niliekua nampenda nakujitoa Kwa Kila kitu kwake ambae tulikua tunakaribiana mshahara yeye akiwa anapokea mil 1. Mie nikiwa napokea mil 1.2 alivyonipiga chini nakwenda kuolewa najamaa mwenye mwenye maisha mazuri kuliko Mimi, atanionaje nakile kigari Cha Jamaa yake kilichochoka choka.
Nawaza Sana aisee hivi ndio naondoka kwenye kundi la MAKAPUKU au vipi?.
Aisee wakuu tuendelee kumuomba Mungu Sana, maana hii kazi niloomba tu huko LINKEDIN bila kujuana na mtu yeyote.
Bado nawaza Sana na nahisi kama ndoto.
Wapiganaji wenzangu tusichoke tuendelee kupambana.
Hongera dogo ila... taratibu!Sawa mkuu endelea kuamini nitangazo, lakini nasema ee Mwenyezimungu nashukuru Sana hatimae Mama angu apumzike Sasa kuuza Ndizi pale KALINZI.
Hongera ila bado sana tuliza kichwa huko kwenye madini nikawaidakumaliza mwezi hujalipwa hela yako, pili yaogope madeal usiyoyaamini vinginevyo utaanzaSawa mkuu endelea kuamini nitangazo, lakini nasema ee Mwenyezimungu nashukuru Sana hatimae Mama angu apumzike Sasa kuuza Ndizi pale KALINZI.