HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,791
- 5,687
Omba Mungu hiyo kazi iwe na kheri na wewe, Saa nyingine ukienda kwenye kazi nzuri zinazolipa vizur kuna changamoto nyingi zaidi hasa ukijiweka kwenye kulipiza na kujionyesha.Sehemu napofanya kazi Kwa Sasa notes ni one month kama unataka ku resign. Namalizia mwezi wangu wa mwisho Kwa makanjibai.
I remember itMkuu Hongera Sana, Kwa kumbukumbu zangu huko Kwa makanjibai mie ndio nilikuambia utume CV humu humu jamiiforum, tukumbukane mkuu. Namba yako bado ninayo.
Ila kweliLazima comment kama yangu iwepo ili kumpunguza spidi kijana wetu. Wote tukimsifia ataharibu zaidi. Mimi nimewasemea nyie wote mnaofanya unafiki wa kumsifu huku kimoyomoyo mnaona upuuzi anaowaza.
Kweli mkuu.Omba Mungu hiyo kazi iwe na kheri na wewe, Saa nyingine ukienda kwenye kazi nzuri zinazolipa vizur kuna changamoto nyingi zaidi hasa ukijiweka kwenye kulipiza na kujionyesha.
Hili alipaswa kulizingatia kabla haja post.Sio kitu kizuri kabisaa hiki kwa ustawi wa maisha yake.Binadam ni wabaya sanaaaaaa....Kwanza hongera ila cha kukushauri tu
Usianze kununua nepi kabla mtoto hajazaliwa maana anaeweza kufa pia
Kufanikiwa kwako kuna wengine inawauma na jicho la hasidi lipo
Pambana kimya kimya na umshukuru Mungu sana wala usiwabeze makanjibai kwani nao walikulipa mshahara kwa makubaliano
Hujapasua bado kwani binadamu hatupangi maisha ila yanakuja yenyewe
La mwisho ni Confirm msomi
😂😂Lin utqeka tangazo la.kutafuta mchumba
1.2m halafu mama anauza ndizi? Anapata ngapi kwa siku uliyoshindwa kuifidia wewe kwa hiyo 1.2m?Mama angu apumzike Sasa kuuza Ndizi pale KALINZI.
Evilspirit. Kijana namfahamu huko Kwa makanjibai mie ndie nilimwambia atume CV na kweli alinishukuru baada yakupata kazi. Hii net stage sijui nikweli au laa.Kuna zile ndoto unaweza kuwa unaota katika kuota huko unaweza hadi kupost thread JF lakini baadae ukistuka unashangaa sana
palina usije ukajichanganya[emoji28]wewe ni wangu hata kama joblesLin utqeka tangazo la.kutafuta mchumba
Alikubabua hata na ya soda kwa kumpa connectionEvilspirit. Kijana namfahamu huko Kwa makanjibai mie ndie nilimwambia atume CV na kweli alinishukuru baada yakupata kazi. Hii net stage sijui nikweli au laa.
Hio ni gross, ukitoa nssf, Paye, HESLB, bima ya afya , unabakiwa kama na 800K. Bado madogo hawajaemda school. Niela yakawaida sana.1.2m halafu mama anauza ndizi? Anapata ngapi kwa siku uliyoshindwa kuifidia wewe kwa hiyo 1.2m?
Hiki kizazi hiki!
Alinitumia mkuu elfu 55 kama asante. Ilikua 2020.Alikubabua hata na ya soda kwa kumpa connection
Du jamaa hii si chai kweliAlitumia mkuu elfu 55 kama asante. Ilikua 2020.
EvilSpiritDu jamaa hii si chai kweli