Miaka mitano baada ya kumaliza chuo, hatimaye naenda kwenye mshahara wa Milioni 6, bado siamini, nawaza sana

Umenena mkuu tuna Taifa la vijana wajinga sana ,badala ya kuwaza ubunifu kazini anawaza kuhusu mademu
 
Usisahau kutoa ZAKA kwa Mungu wa kweli kila fedha unazopata ni ulinzi juu ya Maisha yako na kazi yako .
Kuna kuwa na Kafara kwenye madini wahusika ni wafanyakazi.
 
Laki Mbili Per Day....

This make sense...

Town hapa Patamu ufike 1m per day! Hizo Tambo zako ndio utazifanya kwa hasira zote,maana una mahasiraa muraah!

Ongeza Juhudi + Jiongeze 200k per day uwezo wa kufika 1m per day by 2025-2026 upo 80% kama ukiweza jua nini unafanyia hiyo pesa kuizalisha zaidi.

All in All katoe sadaka ya shukran arif halafu funga hilo bakuli sasa,Tutakuloga bure!
 
Umeongea kitu nilichotaka kuongea Ni ishu ya emotional intelligence. Yaani the guy is really overwhelmed by his euphoria and pleasure plus dopamine at work has released in large amount together with revenge and ego boosting.
Emotions have us but we don't have them
 
Hili alipaswa kulizingatia kabla haja post.Sio kitu kizuri kabisaa hiki kwa ustawi wa maisha yake.Binadam ni wabaya sanaaaaaa....
Aliona ajisifie ila kama amewabeza na vijiweni na jamaa zake basi Mungu amsaidie

Kuna watu huwa hawataki maendeleo ya wenzao na tunafundishwa kwa kila tamaduni za watu duniani kote sio sisi tu kuwa ukitaka kufanya kitu usitangaze
 
Mikoani kuna deals kibao,wale wanaobanana mjini waache wateseke
 
NAKAZIA HAPA.
 
Kote umewaza Sawa Ila umekuja kupuyanga hapa.

Nakunukuu:

Nawaza Dem wangu niliekua nampenda nakujitoa Kwa Kila kitu kwake ambae tulikua tunakaribiana mshahara yeye akiwa anapokea mil 1. Mie nikiwa napokea mil 1.2 alivyonipiga chini nakwenda kuolewa najamaa mwenye mwenye maisha mazuri kuliko Mimi, atanionaje nakile kigari Cha Jamaa yake kilichochoka choka.


Hiki ndicho kitakufanya usiendelee na kuishi tofauti na awali
 
Sawa mkuu endelea kuamini nitangazo, lakini nasema ee Mwenyezimungu nashukuru Sana hatimae Mama angu apumzike Sasa kuuza Ndizi pale KALINZI.
Hongera dogo ila... taratibu!
6m ni nyingi ila sio ya kumaliza matatizo yako yote na kutimiza ndoto zako zote.
Akili huwa inanyumbuka kulingana na unachopata, soon utaona hiyo pesa haitoshi kabisa.
 
Sawa mkuu endelea kuamini nitangazo, lakini nasema ee Mwenyezimungu nashukuru Sana hatimae Mama angu apumzike Sasa kuuza Ndizi pale KALINZI.
Hongera ila bado sana tuliza kichwa huko kwenye madini nikawaidakumaliza mwezi hujalipwa hela yako, pili yaogope madeal usiyoyaamini vinginevyo utaanza
 
Kulikua hakuna sababu ya kujianika hadharani, narudia tena usitangaze mafanikio yako kwa watu, watu wengine mahasidi hawapendi kuona mafanikio ya mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…