Miaka mitano baada ya kumaliza chuo, hatimaye naenda kwenye mshahara wa Milioni 6, bado siamini, nawaza sana

Kaka ukianza kazi naomba unifanyie mpango wa nafasi ya ulinzi nina mafunzo ya JKT maana kwenye makampuni ya madini kidogo yanalipa vizuri kidogo kwa kada za ulinzi na hata professional tofauti na hizi kampuni zingine za ulinzi.
 
Tulia ndugu yangu, focus kwenye perfomance unayoenda kuiattach na CV yako sio X wako. Haya sasa kama unayeripoti kwake anapitaga humu ameshajua una mawenge na mshahara. Pull yourself together acha kujianika anika kaitendee kazi CV yako. MUNGU AKUTANGULIE.
 
Nakazaia
 
Samahani,hivi LINKEDIN unajiunga vipi!
 
Jombaa kazi yenye mshahara wa zaidi ya Tshs. milioni 6 kwa mwezi kibongo bongo haikupi nafasi ya kufanya mambo yako binafsi. Bongo utai-enjoy maisha ukiwa mtendaji mkuu (CEO) maana una option ya ku-assemble timu ya wasaidizi wenye vichwa vizuri, wewe ni ku-review vi-report kila siku asubuhi na kuongoza vikao.
 
Wame comferm na unaenda Kulipoti, hongera ndugu fundi makenika huko mgodini.
Hizo ni taiping ero tu kikubwa kuelewa alichomaanisha.

Pia humu hatuandiki kutafuta vyeti kama ungemuuliza kwanini ktk vipaumbele vyake hajaweka wale wasiojiweza (imani yangu alipo wapo) ungekuwa umefanya jambo la maana zaidi.
 
Hizo ni taiping erro tu humu hatuandiki kutafuta vyeti kama ungemuuliza kwanini ktk vipaumbele vyake hajaweka wale wasiojiweza?(imani yangu alipo wapo) ungekuwa umefanya jambo la maana zaidi.
Unaonaje kama ungemuuliza wewe kwakuwa umeliona hilo? Halafu unajua vizur maana ya taiping erro/ typing error?
 
Tuliza akili Chini vuta mda, siku ya kureport ikifika nenda kareport usiwe na presha
 
Unaonaje kama ungemuuliza wewe kwakuwa umeliona hilo? Halafu unajua vizur maana ya taiping erro/ typing error?
Kwamba kwanini sikumuuliza mimi siyo shida ila sababu nimeshalisema hapo nilipokukoti automatiki yeye ataliona na atanijbu ikimpendeza haina haja ya kujaza seva az longi az hatulipi humu.

Yah,hayo maneno hapo nimekuwa nikiyasikia sikia pale mtu anapokosea kuandika sentesi hivyo hata mimi nikahisi jamaa alikosea ndiyo maana ukaandika vile,bado najifunza ukiniambia kama yana maana tofauti na hiyo utanielimisha pia.
 
Huu mwandiko mbona kama siyo wa 6m vileee..!!!
 
Naamini hata yeye mweyewe alielewa nilichokisema, Sema wewe ndio ulitaka kuamini nimemdhihaki kwa kuamini maneno yale hayaandikwi hivyo. Tujaalie tu ndugu yetu kapata hiyo deal na anaripoti hivi karibuni.
Sasa ni jukumu letu kumuambia tunayohisi yatamsaidia na mimi nishamuambia tayar huko juu.
 
Dua nzuri sana kwake,tuendelee kumtakia kheir ikawe hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…