Miaka miwili bila uhusiano/ uzinzi iliyopelekea nionekane mwendawazimu machoni mwa watu

Miaka miwili bila uhusiano/ uzinzi iliyopelekea nionekane mwendawazimu machoni mwa watu

Inawezekana ila kuna mtu kauliza swali la maana! Nini ilikua distraction yako???
Namjua mtu ama watu wao Wanakwambia Mjani unakata kiu zote ndo mana wavutaji sio wazinzi..
Nimecheka sana kiukweli, ila ni maamuzi tu madame hakuna cha zaidi
 
Back
Top Bottom