Duuu π³ π³ π³ miaka kumi? [emoji102][emoji144][emoji144][emoji144]Mshana Jr. Kumbe mm ni muhenga zaid yako. Mm nimejiunga JF wakat bado ni Mtoto sana. Nilikuwa kama nna miaka 10 na hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
π π π Sawa mzee asante kwa ushauriSawa hongera. Mie miaka kumi hata post kumi hazifiki. Mshana acha uchawi kijana, ukizeeka si itakuwa balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji120][emoji120][emoji120]kwa mara ya kwanza leo ndio naona ume comment! Unaendeleaje lakini!?Kaka ,hongera sana.Mimi Nov 2008.Lakini napenda mno kusoma,Kuliko kupost.
Endelea kutupasha habari .
Sent using Jamii Forums mobile app
@mla bata wapuuzi hawajibiwi... Read between the lines about multiple ID's
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera nyingi kwako Mr mshana Jr ,ni moja ya watu walionijenga kusoma,kujifunza na kutafakari pia,,,,ila kuna ule Uzi wa kifo sijui nitaupataje
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa,,,,[emoji120][emoji120][emoji120] sanaa ya kifo kuna shida kidogo kwenye app ya JF... Nashindwa ku retrieve nyuzi za nyuma
CC :
JamiiForums
Moderator
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]ukikubali kuolewa? [emoji39][emoji39][emoji39][emoji85]
π π π π Vyuma mzee baba...!Hongera sana Mshana Jr!!! Sasa hatugongi glass au vyombo? [emoji482]π₯[emoji481][emoji484]!!! Maana miaka sita si mchezo!!! Ili hata wale haters wako wasuuzike na roho zao!!!
[emoji23][emoji23]
Huyo jamaa kaushupalia ukabila Mshana Jr kwani we kabila gani?! Labda wa kwetu [emoji122] [emoji23]