Miaka sita kamili ndani ya JamiiForums. Happy joining day 19th August 2012

Nilikutangulia ; Mimi nilianza kutumia hii ID kuanzia February 2012; huu ni mwaka wa 6 sasa mapambano ya kukijenga chama yanaendelea; mafanikio ni makubwa mpaka sasa kwani tumevuna wanachama wengi tu na tunaendelea kufanya hivyo.
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Hongera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana Jr

Hongera sana kwa kutimiza miaka 6 hapa Jamiiforums, ni matumaini yetu uwepo wako hapa utaendelea kuwanufaisha wanajamii wengine kwa kupitia michango yako unayoiweka hapa kwenye majukwaa
 
Ukiona nyani mzee ujue amekwepa mishale mingi.

Happy joining day Fundi wa Msata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…