Miaka, toka kuumbwa kwa adamu hadi kufa kwa Abrahamu. Umeona nini?

Yap, naamini hivyo. Ukisema uliscrutinize kisayansi utaona halimake sense.
 
Je kwenye mwezi usiku huwa muda mwingine inatokea
 
Mars yasemekana kupigwa Kwa interplanetary ballistic missiles nyakati za kale.
 
Nafikiri ilikuwa ni genetic information ya wanyama hao ili kufanya cloning 😁
 
Hizi hekaya za Annunaki ni za kitoto sana.
hekaya za kitoto kivipi wakati jamii zote za Assyrian, Sumerian, Babylon, Egyptian, Kush, Aztec, Maya, Peru, Indus valley, china Wote Wana Accient writings kuwahusu Hawa viumbe mpaka ushahidi upo ya kwamba ndio viumbe wa kwanza kuwapa ustaarabu Watu?
Kuna mpaka michoro na bronze zake zikowaonesha viumbe Hawa wakiwa kama miungu waliotoka anga za juu na kuja Duniani Kwa mission maalumu,
Nenda Kasome kuhusu
Rama setu bridge lililokatiza bahari huko Tamil Nadu to Sri Lanka lilijengwa maelfu ya Miaka BC Kwa kutumia teknolojia ya Hali ya juu sana na katika hizo hizo hekaya za kihindi zinasema walijenga Vanaras viumbe kutoka galaxies za juu huko!

Ktakuaje hekaya zifanane Kwa Kila jamii?
 
Tafuta Epic of Gilgamesh.Viongozi wa Dini za Dunia haswa Islam, Christianity na Judaism hawataki wafuasi wao wafahamu haya mambo ili wazidi kuwafyonza Kwa Hali na Mali. Je wajua Kuna nyakati mwezi haukuwa angani?
Duuu mkuu hebu gusia hiyo ya mwezi kutokua angani niongezee maarifa Aisee maana haya mambo ni makubwa Sana Kwa sisi tulio free mind tunaenda kuingiza kitu kipya Kila siku!
🙏🙏🙏
 
ndo nimejua leo haya imebidi nikajionee ase dunia ina mengi sana yasiyo na majibu bado.
 
ndo nimejua leo haya imebidi nikajionee ase dunia ina mengi sana yasiyo na majibu bado.
umeona mkuu ukiwa mvivu wa kutafuta maarifa na taarifa kuihusu Dunia yetu utashangazwa Sana na mambo yake ila ukiwa mvivu kusoma Kila kitu utaona ni kigeni na hekaya za uongo ila ukweli ni huo Dunia hapo nyuma walipata kutokea civilization yenye teknolojia ya Hali ya juu inayoacha utata Kwa kizazi hiki kuweza kung'amua!
 
Biblia si kitabu tu cha dini bali pia cha historia, sheria nk. Lakini kama vitabu vingine(vya hesabu, afya nk) unatakiwa ukiamini kwanza ndipo unaweza kwenda mbele. Usipoamini yaliyoandikwa kwenye kitabu cha afya hamuwezi anza kujadili yaliyomo.
Usifikiri hatuijui hiyo biblia hadi utufundishe! Mimi nimekuwa mfurukutwa wa dini kwa miaka zaidi ya ishirini, nimejifunza theology sana tu but I come to realize how wrong is the bible, imejaa uongo sana
 
Biblia inasema hivyo, bila shaka.
Biblia sio last say kama inavojiamnisha. Ni kitabu cha Brain washing au Mind programming...haitaki kuchunguzwa chunguzwa na waliokiandika ( sio wakina Musa na wengineo tunavoaminishwa)
Na wenye dini wakikuona una hoji hoji mambo ya Mungu kwenye kitabu unaonekana unaasi dini, unachukiwa.
Wakati huyo Mungu anasisitiza pendo la Agape..Huyo huyo Mungu kaua maelfu ya watu kwa kisingizio cha upagani.
 
Mbona naonaona kuwa Abrahamu ni uzao wa Noah? Au sielewi hiyo geneology?

Vv
 
Inaonyesha Eber(eberi)ndiye alikuwa wa mwisho kuishi miaka ya kuanzia 400. Inasemekana huyu ndiko jina ebrania limetoka.

Jina la Ebrania ni jina alilopewa ibrahim na wenyeji wa canann na sio eber,
kwa mara ya kwanza limeonekana kwenye kitabu cha mwanzo 14:13, likiwa na maana aliyevuka kutoka ng'ambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…