JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 1,011
- 1,681
Kusaidiana ni njia mojawapo ya Kudumisha Upendo Baina yetu sisi na watu wengine ikiwemo ndugu zetu, jamaa na Marafiki.
Kukua na kuongezea kwa matumizi ya Huduma za Kifedha kwa njia ya simu imesaidia na kurahisisha kwa kiwango Kikubwa sana ndugu, jamaa na marafiki kutumiana fedha pindi inapotokea dharura.
Lakini katika Eneo hili kuna hasara tunazipata bila kujua Kabisa.Mfano mtu anakuomba umuazime laki moja Kesho atakurudishia unamtumia 100k kamili kwenye mtandao wako utakatwa si chini ya Elfu mbili kuituma hiyo laki moja, Kesho yake kweli atakurudishia kwa njia ile ile ya Simu 100k unaenda kutoa kwa wakala unakatwa 5,500 jumla unabaki na 95,500 na ile elfu mbili ya Kumtumia uliyokatwa unabaki na 92,500.
Sijui kama nimeeleweka yaani kwa kumsaidia mtu laki moja tu kwa njia ya simu unajiingizia hasara ya 7500. Kama hujaelewa turahisihe hivi Mtu anakuazima elf Kumi unamtumia 10k kesho naye anakurudishia 10k ukienda kutoka unakatwa buku nzima,unabaki na elfu Tisa.
Hii ni hasara kubwa sana tunaipata bila kujua.