Miamala kwa njia ya simu inatufilisi bila kujua

Kama unalalamikia Kuhusu elfu 2 ni dhahiri umaskini ni ndugu yako.
 
Mkuu wewe Tuma tu..msaidie huyo mtu...akili yake itakavyomtuma arudishe...wewe mvumilie tu...
 
Hili swala la makato kuna mtu linamharibia kimyakimya ...
Huwez kutoa 27000 makato sh 1850 + tozo 672 jumla 2522.
Hamna shida mama anaupiga mwingi [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Kama unalalamikia Kuhusu elfu 2 ni dhahiri umaskini ni ndugu yako.
Hakuna tajiri ambae hajui value ya pennies..... (unless sio self made au anapata kwa mtindo wa Easy Come Easy Go)

As the saying Goes...., Take Care of the Pennies and the Pounds will take Care of Themselves...
 
no free lunch baharia everything costs
 
Kama ulikopeshwa kupitia simu uungwana Ni kurejesha na ya kutolea haijilishi huyo aliekutumia kama alituma na ya kutolea au lah.
 
Hili swala la makato kuna mtu linamharibia kimyakimya ...
Huwez kutoa 27000 makato sh 1850 + tozo 672 jumla 2522.
Hamna shida mama anaupiga mwingi [emoji122][emoji122][emoji122]
Tozo tuu mnalalamika hivyo wakati nchi jirani ya Kenya hapo kila kitu Kiko juu.

Hapo hapo mnasema seeikyinakopa Sana, serikali ikipokea misaada inalemaza sasa sijui hayo maendeleo mtayagharamiaje?

Hii Nchi ina watu wa ajabu ajabu Sana.😬😬😬
 
Shee,lipa Kodi acha kulialia,inauma Ila nchi hunengwa na wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…