Matulanya Mputa
JF-Expert Member
- Aug 14, 2023
- 245
- 655
Mbina mnamuhusisha mama wa watu wakati hausiki?Mtoto pendwa Chuga, TUMBO JOTO...hii issue ya Lissu itaendelea kumchafua bibi Chura Kiziwi..angejiweka nayo kando kwa kuruhusu UCHUNGUZI HURU + kuruhusu taratibu za KISHERIA zifuate
huyu jamaa atakua na nguvu sana, yaan hadi anakataza uchunguzi huruMzee wetu wa Bilicanas sijui kama atanusurika, maana ana historia ya kuchomesha wenzake, ngoja tusubiri na ya Chacha Wangwe
Ni kweli hausiki,ila sasa ili jamii iendelee kutomuhusisha aruhusu UCHUNGUZI huru li isijetokea Mbunge mwingine kupigwa risasi..Mbina mnamuhusisha mama wa watu wakati hausiki?
Ajiweke vipi kando kama alikuwa part ya serikali inayotuhumiwa.Mtoto pendwa Chuga, TUMBO JOTO...hii issue ya Lissu itaendelea kumchafua bibi Chura Kiziwi..angejiweka nayo kando kwa kuruhusu UCHUNGUZI HURU + kuruhusu taratibu za KISHERIA zifuate
Mbowe anahusika vipi sasa?Akivujisha hizo taarifa huenda Mbowe akaenda jela
Ndio nasema ili jamii ya Watanganyika isiendelee kumuhusisha ,aruhusu UCHUNGUZI HURU..kinyume na hapo na yeye yumoo!Ajiweke vipi kando kama alikuwa part ya serikali inayotuhumiwa.
Unajaribu kupepesa macho.......unawaogopa wauaji na watekaji......Akivujisha hizo taarifa huenda Mbowe akaenda jela
Zivujishwe, serikali imbane azitoe hizo taarifa katika tume huru ya uchunguzi.Akivujisha hizo taarifa huenda Mbowe akaenda jela
Sema usiogope.MICHAEL CLIFFORD