Michael Clifford ana uwezekano wa kuweka wazi majina ya wahusika wote ambao alifanya nao online conference ya kumpiga risasi Lissu

Michael Clifford ana uwezekano wa kuweka wazi majina ya wahusika wote ambao alifanya nao online conference ya kumpiga risasi Lissu

Wakati ukuta, tuliwahi kusema na watu walisema MICHAEL CLIFFORD anaenda weka majina ya wote walioshiriki katika unyama wa Lissu,.
Kwakua tulizoea wafunga mdomo watanzania je tutaweza mfunga mdomo MICHAEL CLIFFORD?
sina hakika kama chairman atakosekana kwenye majina hayo. Ni aibu na inasikitisha sana :NoGodNo:
 
Mzee wetu wa Bilicanas sijui kama atanusurika, maana ana historia ya kuchomesha wenzake, ngoja tusubiri na ya Chacha Wangwe
Acha hizo Mbowe ndiye aliyemsaidia majeruhi Lissu kwanza na kukataa apelekwe Muhimbili ambapo kulikuwa na tetesi Watu Wasiojulikana wangemaliza na kufanya mipango kwenda Nairobi alipoponea.
Hujui lolote we bumunda
 
Kumbe ukiwa chawa akili unaziacha
mihemko na ushirikina ni vitu sambamba,

Na mimi si husiki na wala si sehemu ya hiyo singombingo ya kabokamchizi unayotumia kujibu ukweli, mtazamo na maoni yangu ya kweli na mujarabu sana dhidi ya hoja mahususi mezani :pulpTRAVOLTA:
 
si hata mimi naona huenda chairman akawepo kwenye majina pamoja na wengine, makasiriko ya nini gentleman? :pulpTRAVOLTA:
Pamoja na kukuacha kwa sababu huna thamani tena, lakini inanilazimu nikufahamishe wewe pia moja kwa moja, kwamba haya ya sasa ya utekaji na uuaji wa waTanzania yanayofanyika sasa hivi chini ya Samia; wakati utakapo wadia wa kuweka wazi wahusika wote wa uovu huu, jina lako halitakosekana kwenye orodha hiyo.

Jiandae tu, kisaikolojia kwa jambo hilo.
 
Back
Top Bottom