Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu kamtaja Makonda kuongoza kikosi.Unajua anayehusika?
kwa Neema na Baraka za Mungu, nami nitakua miongoni mwa majina ya wateule watakao ingia paradiso kufurahi pamoja na mfalme wa kiti cha enzi mbinguni kwa Baba...Pamoja na kukuacha kwa sababu huna thamani tena, lakini inanilazimu nikufahamishe wewe pia moja kwa moja, kwamba haya ya sasa ya utekaji na uuaji wa waTanzania yanayofanyika sasa hivi chini ya Samia; wakati utakapo wadia wa kuweka wazi wahusika wote wa uovu huu, jina lako halitakosekana kwenye orodha hiyo.
Jiandae tu, kisaikolojia kwa jambo hilo.

Tuliza boli kidogo genleman,

EEEeeenHEEEEeeee!kwa Neema na Baraka za Mungu, nami nitakua miongoni mwa majina ya wateule watakao ingia paradiso kufurahi pamoja na mfalme wa kiti cha enzi mbinguni kwa Baba...
jina langu halitakuako kwingineko halitakuwepo kamwe gentleman, acha ushirikina![]()
nani atababaika nawe sasa gentlemanEEEeeenHEEEEeeee!
Sina wakati wa kuendelea kumpiga mijeledi punda ambaye ni mfu..., kwa hiyo endelea kwa raha zako hapa.
Huna thamani tena ya kuendelea kujihusisha nawe tena.


Clifford ana kila kitu evidence yote anayo na wana sheria wake wana data zote.Wakati ukuta, tuliwahi kusema na watu walisema MICHAEL CLIFFORD anaenda weka majina ya wote walioshiriki katika unyama wa Lissu,.
Kwakua tulizoea wafunga mdomo watanzania je tutaweza mfunga mdomo MICHAEL CLIFFORD?
Kila kitu kipo wazi nowWakati ukuta, tuliwahi kusema na watu walisema MICHAEL CLIFFORD anaenda weka majina ya wote walioshiriki katika unyama wa Lissu,.
Kwakua tulizoea wafunga mdomo watanzania je tutaweza mfunga mdomo MICHAEL CLIFFORD?
TUENDELEE na maombi.Wakati ukuta, tuliwahi kusema na watu walisema MICHAEL CLIFFORD anaenda weka majina ya wote walioshiriki katika unyama wa Lissu,.
Kwakua tulizoea wafunga mdomo watanzania je tutaweza mfunga mdomo MICHAEL CLIFFORD?
Serikali yetu inaongozwa na watu wa hovyo kabisaDunia haina siri kwa kweli .
NI VIZURI AENDE SO TAARIFA ZIFUJISHWE.Akivujisha hizo taarifa huenda Mbowe akaenda jela
Michael Clifford atusamehe.Wakati ukuta, tuliwahi kusema na watu walisema MICHAEL CLIFFORD anaenda weka majina ya wote walioshiriki katika unyama wa Lissu,.
Kwakua tulizoea wafunga mdomo watanzania je tutaweza mfunga mdomo MICHAEL CLIFFORD?
Kwamba kwa taarifa aliyoitoa huko Uingereza kwamba serikali ilihusika moja kwa moja na Tigo kumfukuza kazi bado Mbowe anahusika na jaribio la Mauaji ya Lissu na sio wahusika ambao Lisu anawataja moja kwa Moja akiwemo PCM? Naamini Lisu ana taarifa zote muhimu zinazohusu tukio zima la jaribio la Mauaji yake.Akivujisha hizo taarifa huenda Mbowe akaenda jela
Huyo unayemtetea ni muuaji namba moja nchini.Mbina mnamuhusisha mama wa watu wakati hausiki?
Ameshamtaja Master Mind Mzima ni PCM na kama PCM hauhusiki ni wakati sahihi wa PCM kumfumgulia Kesi Mahakamani ili athibitishe kuwa ni yeye au sio yeyeAmwage majina fastaa
Mbowe huyu huyu aliyekuja Kwenye Maandamano na Bint yake Nicole?Akivujisha hizo taarifa huenda Mbowe akaenda jela
Wakati ukuta, tuliwahi kusema na watu walisema MICHAEL CLIFFORD anaenda weka majina ya wote walioshiriki katika unyama wa Lissu,.
Kwakua tulizoea wafunga mdomo watanzania je tutaweza mfunga mdomo MICHAEL CLIFFORD?
Mtoto pendwa Chuga, TUMBO JOTO...hii issue ya Lissu itaendelea kumchafua bibi Chura Kiziwi..angejiweka nayo kando kwa kuruhusu UCHUNGUZI HURU + kuruhusu taratibu za KISHERIA zifuate
Mbina mnamuhusisha mama wa watu wakati hausiki?
Ni kweli hausiki,ila sasa ili jamii iendelee kutomuhusisha aruhusu UCHUNGUZI huru li isijetokea Mbunge mwingine kupigwa risasi..
Ni lazima hatua madhubuti zichukuliwe..na kwa kuanzia ni UCHUNGUZI HURU
Kitendo cha Serikali kutokufanya Uchunguzi wa kijinai kuhusu suala hili, au kukataa kuruhusu ufanyike uchunguzi huru ni Uthibitisho wa Wazi kabisa kwamba tukio hilo lilikuwa ni Uhalifu wa kupanga. Aidha, hali hii pia inathibitisha kwamba mpango wa utekelezaji wa tukio hilo ulipata kibali/idhini kutoka kwa 'Sponsa' wa tukio hilo.Ndio nasema ili jamii ya Watanganyika isiendelee kumuhusisha ,aruhusu UCHUNGUZI HURU..kinyume na hapo na yeye yumoo!
🤣 🤣 🤣I second, usimpige mbwa aliekuja kwenye harusi uliyoalikwa maana nyie wote mmefuata chakula hapo kwenye hiyo sherehe
Mzee wetu wa Bilicanas sijui kama atanusurika, maana ana historia ya kuchomesha wenzake, ngoja
Acha uongo we chadema.Huyo unayemtetea ni muuaji namba moja nchini.
Amedeploy jeshi mtaani kwa uniform za polosi ili kuwsua raia ambao wangejitokeza kulaani mauaji anayoyaendesha kupitia secret service