tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Hao wauaji watafurahi mana nguo wamevuliwa wote mpka mwenyekiti waoYakitoka tu Tanzania unakuwa huru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wauaji watafurahi mana nguo wamevuliwa wote mpka mwenyekiti waoYakitoka tu Tanzania unakuwa huru
I second, usimpige mbwa aliekuja kwenye harusi uliyoalikwa maana nyie wote mmefuata chakula hapo kwenye hiyo sherehe
Angebaki Tz mayele angeshafanya yakweWakati ukuta, tuliwahi kusema na watu walisema MICHAEL CLIFFORD anaenda weka majina ya wote walioshiriki katika unyama wa Lissu.
Kwakua tulizoea wafunga mdomo watanzania je tutaweza mfunga mdomo Michael Clifford?
Huyo anapambania kufukuzwa kwake kazini ili alipwe.Wakati ukuta, tuliwahi kusema na watu walisema MICHAEL CLIFFORD anaenda weka majina ya wote walioshiriki katika unyama wa Lissu.
Kwakua tulizoea wafunga mdomo watanzania je tutaweza mfunga mdomo Michael Clifford?
Kwamba???Mzee wetu wa Bilicanas sijui kama atanusurika, maana ana historia ya kuchomesha wenzake, ngoja tusubiri na ya Chacha Wangwe
chupi hazivaliki huko waliko...Wakati ukuta, tuliwahi kusema na watu walisema MICHAEL CLIFFORD anaenda weka majina ya wote walioshiriki katika unyama wa Lissu.
Kwakua tulizoea wafunga mdomo watanzania je tutaweza mfunga mdomo Michael Clifford?
Tulia hapo hapo utaelewa kila kituo....Mbowe alihusika!Mbowe anahusika vipi sasa?
Chairman Magufuli ama?sina hakika kama chairman atakosekana kwenye majina hayo. Ni aibu na inasikitisha sana![]()
Tutarudi hapahapa vyote vikishakuwa wazi...utatoa nini kama hayo uliyoyaandika si sahihi? Tuandae mafuta ya Baby Oil ya Pdiddy?Tulia hapo hapo utaelewa kila kituo....Mbowe alihusika!
They think kila kitu ni politics za bongo kumbe ngoma ipo kwa mabeberu huko facts speak more..Kuna mijitu humu ni machawa kila tunapoendelea kupata taarifa muhimu yenyewe inatuchepusha reli. Sasa wako oh! Mbowe anahusika. Hivi sisi wananchi miaka yote tusingejua uhusikka wake. Acheni Waingereza walete mambo kama umo humu na ulihusika tutajua tu.
Wewe mwambie mchawi mwenzio bashite mjitundike kabla hamjatundikwa hadharani muda wenu umefikaMzee wetu wa Bilicanas sijui kama atanusurika, maana ana historia ya kuchomesha wenzake, ngoja tusubiri na ya Chacha Wangwe
wacha tusubiri,Chairman Magufuli ama?
Mbona una haraka mkuu una hofu gani ? Hiyo ndiyo nzuri. Ila ukitajwa usiseme jina limekosewa na nikitajwa tukutane mahakamani au nasema vibaya ndugu zangu?Mzee wetu wa Bilicanas sijui kama atanusurika, maana ana historia ya kuchomesha wenzake, ngoja tusubiri na ya Chacha Wangwe
Sisi kubashiri wahusika, hatuwezi. Na sababu,, kwa nini iwe leo au jana na sio 2017 au 2022 au mwaka jana hatujui. Weupe wananyooka, hawapindishi mambo. Tungoje ifike tuone rangi halisi.Huyo anapambania kufukuzwa kwake kazini ili alipwe.
Unafikiri mbowe ndo alikuwa ana mtrack lisu?? hehehewacha tusubiri,
maana inashangaza sana na inasikitisha sana kwakweli 🐒
Achana nayo huyo mzee anadhani wabongo ni mazezeta.hizo mbinu hazina kazi tena.Mbowe anahusika vipi sasa?
Anajuwa kila kitu anafanya kusudi tu ili umshambulie yeye na utoke kwenye mjadala.Acha hizo Mbowe ndiye aliyemsaidia majeruhi Lissu kwanza na kukataa apelekwe Muhimbili ambapo kulikuwa na tetesi Watu Wasiojulikana wangemaliza na kufanya mipango kwenda Nairobi alipoponea.
Hujui lolote we bumunda
Kuto kuhusika kwake tungekuona kwenye kuacha kumteua mtu ambaye anajua nini alikifanya wakat yeye akiwa makamuMbina mnamuhusisha mama wa watu wakati hausiki?
Kama kungekuwa kuna mwanasiasa wa upinzani anahusika kupanga na kutekeleza shambulio la Lissu, hadi sasa angeshafungwa kabla ya hii kesi ya Michael Clifford, amini hivyo.Akivujisha hizo taarifa huenda Mbowe akaenda jela