sina hakika kama chairman atakosekana kwenye majina hayo. Ni aibu na inasikitisha sanaWakati ukuta, tuliwahi kusema na watu walisema MICHAEL CLIFFORD anaenda weka majina ya wote walioshiriki katika unyama wa Lissu,.
Kwakua tulizoea wafunga mdomo watanzania je tutaweza mfunga mdomo MICHAEL CLIFFORD?
Tupo waweke muda ni huuWakati ukuta, tuliwahi kusema na watu walisema MICHAEL CLIFFORD anaenda weka majina ya wote walioshiriki katika unyama wa Lissu,.
Kwakua tulizoea wafunga mdomo watanzania je tutaweza mfunga mdomo MICHAEL CLIFFORD?
Punguza uchawa. Soma ripoti ya huyu mtu. Labda Anahusika mwendazake na genge lake..?sina hakika kama chairman atakosekana kwenye majina hayo. Ni aibu na inasikitisha sana
Hakika atakuwa amesaidia kutanzua kitendawili cha wasiojulikana.Wakati ukuta, tuliwahi kusema na watu walisema MICHAEL CLIFFORD anaenda weka majina ya wote walioshiriki katika unyama wa Lissu,.
Kwakua tulizoea wafunga mdomo watanzania je tutaweza mfunga mdomo MICHAEL CLIFFORD?
si hata mimi naona huenda chairman akawepo kwenye majina pamoja na wengine, makasiriko ya nini gentleman?Punguza uchawa. Soma ripoti ya huyu mtu. Labda Anahusika mwendazake na genge lake..?
Acha hizo Mbowe ndiye aliyemsaidia majeruhi Lissu kwanza na kukataa apelekwe Muhimbili ambapo kulikuwa na tetesi Watu Wasiojulikana wangemaliza na kufanya mipango kwenda Nairobi alipoponea.Mzee wetu wa Bilicanas sijui kama atanusurika, maana ana historia ya kuchomesha wenzake, ngoja tusubiri na ya Chacha Wangwe
Acha uongoMzee wetu wa Bilicanas sijui kama atanusurika, maana ana historia ya kuchomesha wenzake, ngoja tusubiri na ya Chacha Wangwe
Tena anaweza kupigwa pini hizo hasiamini viongozi wenzao wazungu kwenye issue za judiciary huwa hawaingiliiNdio nasema ili jamii ya Watanganyika isiendelee kumuhusisha ,aruhusu UCHUNGUZI HURU..kinyume na hapo na yeye yumoo!
Kumbe ukiwa chawa akili unaziachasi hata mimi naona huenda chairman akawepo kwenye majina pamoja na wengine, makasiriko ya nini gentleman?
Sasa hapo mama anahusikaje!Mtoto pendwa Chuga, TUMBO JOTO...hii issue ya Lissu itaendelea kumchafua bibi Chura Kiziwi..angejiweka nayo kando kwa kuruhusu UCHUNGUZI HURU + kuruhusu taratibu za KISHERIA zifuate
Kuna mijitu humu ni machawa kila tunapoendelea kupata taarifa muhimu yenyewe inatuchepusha reli. Sasa wako oh! Mbowe anahusika. Hivi sisi wananchi miaka yote tusingejua uhusikka wake. Acheni Waingereza walete mambo kama umo humu na ulihusika tutajua tu.Mbowe anahusika vipi sasa?
Unajua anayehusika?Mbina mnamuhusisha mama wa watu wakati hausiki?
mihemko na ushirikina ni vitu sambamba,Kumbe ukiwa chawa akili unaziacha
Pamoja na kukuacha kwa sababu huna thamani tena, lakini inanilazimu nikufahamishe wewe pia moja kwa moja, kwamba haya ya sasa ya utekaji na uuaji wa waTanzania yanayofanyika sasa hivi chini ya Samia; wakati utakapo wadia wa kuweka wazi wahusika wote wa uovu huu, jina lako halitakosekana kwenye orodha hiyo.si hata mimi naona huenda chairman akawepo kwenye majina pamoja na wengine, makasiriko ya nini gentleman?
🚮🚮mihemko na ushirikina ni vitu sambamba,
Na mimi si husiki na wala si sehemu ya hiyo singombingo ya kabokamchizi unayotumia kujibu ukweli, mtazamo na maoni yangu ya kweli na mujarabu sana dhidi ya hoja mahususi mezani