kwan ni nani ndie gentleman?πUnafikiri mbowe ndo alikuwa ana mtrack lisu?? hehehe
Usemi madhubuti kabisaI second, usimpige mbwa aliekuja kwenye harusi uliyoalikwa maana nyie wote mmefuata chakula hapo kwenye hiyo sherehe
Haaaa we kiazi kweli kweli.Mzee wetu wa Bilicanas sijui kama atanusurika, maana ana historia ya kuchomesha wenzake, ngoja tusubiri na ya Chacha Wangwe
hausiki kivipi na wakati culprits anawakumbatia na na bado hayo matendo yanaendelea?Mbina mnamuhusisha mama wa watu wakati hausiki?
Bibi hawezi kujiepusha ilihali alishasema mabalozi na nchi wahisani wasimpangie cha kufanya pale walipolaani mauwaji na utekaji na kutaka uchunguzi ufanyike.Mtoto pendwa Chuga, TUMBO JOTO...hii issue ya Lissu itaendelea kumchafua bibi Chura Kiziwi..angejiweka nayo kando kwa kuruhusu UCHUNGUZI HURU + kuruhusu taratibu za KISHERIA zifuate
sina hakika kama chairman atakosekana kwenye majina hayo. Ni aibu na inasikitisha sana
Kuna watu hawana akili kabisa wallah..!!Mzee wetu wa Bilicanas sijui kama atanusurika, maana ana historia ya kuchomesha wenzake, ngoja tusubiri na ya Chacha Wangwe
I can't buy thisAkivujisha hizo taarifa huenda Mbowe akaenda jela
Nachokumbuka Mbowe alihitaji Kwa nguvu sana uchunguzi huru lakini ilishindikana wakati ule.si hata mimi naona huenda chairman akawepo kwenye majina pamoja na wengine, makasiriko ya nini gentleman?
Nashangaa π€·Mbowe anahusika vipi sasa?
Mbina mnamuhusisha mama wa watu wakati hausiki?