komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,783
- 2,479
Subiri uone, utajua wasivyopindisha.Haw
Hawapindishi mambo kivipi?
Hawana lolote sema uelewa na exposure yako ni ndogo inakusumbua pole!Subiri uone, utajua wasivyopindisha.
Mzee wetu wa Bilicanas sijui kama atanusurika, maana ana historia ya kuchomesha wenzake, ngoja tusubiri na ya Chacha Wangwe
Asante, mwenye exposure kubwa tunakusubiriHawana lolote sema uelewa na exposure yako ni ndogo inakusumbua pole!
Asante nasubiriAsante, mwenye exposure kubwa tunakusubiri
Hii kesi imekaa kimchongo. Huyu mtu alifukuzwa kazi lini na kesi ijulikane leo? Halafu kesi ya ajira nchini Tanzania ikasikilizwe nchi nyingine???Wakati ukuta, tuliwahi kusema na watu walisema MICHAEL CLIFFORD anaenda weka majina ya wote walioshiriki katika unyama wa Lissu.
Kwakua tulizoea wafunga mdomo watanzania je tutaweza mfunga mdomo Michael Clifford?
Hawawezi kumshitaki Lissu kwa hili kwa sababu atawamaliza katika cross examination mahakamani.Kama sikosei Boni yai alikamatwa kwa kosa la kumshutumu mafwele mtandaoni.
Sasa najiuliza ni vipi Lissu asikamatwe kwa kumshutumu mh Makonda???
Double standard.
Kampuni ni ya kimataifa, huyo ni raia wa Uingereza. Mahakama za Tanzania haziaminiki.Hii kesi imekaa kimchongo. Huyu mtu alifukuzwa kazi lini na kesi ijulikane leo? Halafu kesi ya ajira nchini Tanzania ikasikilizwe nchi nyingine???
Acha propaganda za kiphaller wewe, Lissu amesema Mtoto pendwa alituma vijana wawili kwanini hajamtaja Mbowe? Itikadi za kisiasa zisiondowe utu wenu.Mzee wetu wa Bilicanas sijui kama atanusurika, maana ana historia ya kuchomesha wenzake, ngoja tusubiri na ya Chacha Wangwe
Kinachowaumbua watu saa hii ni technology.Dunia haina siri kwa kweli .
Wakati ukuta, tuliwahi kusema na watu walisema MICHAEL CLIFFORD anaenda weka majina ya wote walioshiriki katika unyama wa Lissu.
Kwakua tulizoea wafunga mdomo watanzania je tutaweza mfunga mdomo Michael Clifford?
Sisi mama yako hatuhusu unless wewe uwe Abdul na kwa hiyo Samia ni mama yako mzazi...Sasa hapo mama anahusikaje!
Povu povu povu lote hilo la nn hasa!Sisi mama yako hatuhusu unless wewe uwe Abdul na kwa hiyo Samia ni mama yako mzazi...
KUMBUKA: Hapa tunamwongelea Rais wa JMT anaitwa Samia Suluhu Hassan. Huyu ndiye anatuhusu sisi na sio mama yako wa huko Namtumbo....
Kujibu swali lako ni kuwa Rais Samia anahusika kwa 100% kwa sababu;
1. Ndiye Kiongozi mkuu (Rais wa nchi)
2. Ndiye mwenye mamlaka ya vyombo vyote vya ulinzi na usalama (she is a commander - in - chief of all armed forces)
3. Anaweza kuamuru uchungazi au kuzuia....
##Mpaka hapa unaweza kuona uhusika wake, kwa sababu amezuia uchunguzi huku akiwa na hayo mamlaka...
##Siku nyingine panua ufahamu wako. Elewa mamlaka na nguvu ya Rais. Ungekuwa unajua, usingeuliza swali lililojaa elements za ujinga mtupu kama hili...
Kitu cha wazi ni kuwa Michael Clifford ana copy ya ripoti yake, anytime soon ataiweka waziTupo waweke muda ni huu
Masikini wa akili na ufahamu wewe...Povu povu povu lote hilo la nn hasa!
Wataka kumalizia shida zako kwangu Asubh yote hii!!
Anyway, ulikuwa na nafasi nzuri tu ya kulifokea lile shetani lenu la Chato mana ndo uaji kuu. Kwa Samia wajitekenya na kujifurahisha tu.
Wewe kama ni mahakamani utafungwa bure, issue iliyoko mezani ni ya kuhusu Lisu, hao wengine wanahusikaje??Mzee wetu wa Bilicanas sijui kama atanusurika, maana ana historia ya kuchomesha wenzake, ngoja tusubiri na ya Chacha Wangwe
Hiyo tume ya uchunguzi iliundwa lini??Zivujishwe, serikali imbane azitoe hizo taarifa katika tume huru ya uchunguzi.
Aweke tushachoka hawa watu wanaopoteza wenzaoKitu cha wazi ni kuwa Michael Clifford ana copy ya ripoti yake, anytime soon ataiweka wazi