Michael Clifford ana uwezekano wa kuweka wazi majina ya wahusika wote ambao alifanya nao online conference ya kumpiga risasi Lissu

Mzee wetu wa Bilicanas sijui kama atanusurika, maana ana historia ya kuchomesha wenzake, ngoja tusubiri na ya Chacha Wangwe

Acha kuzungusha hapa ... jamaa keshasema ni serikali na Lissu kisha mtaja Mbaya wake No.1, BASHITE.
 
Yani kuna watu hata majibu ya uchunguzi yakiwa tofauti na walivyodhani nadhani watakataa kwa sababu ni kinyume na walivyotaka iwe..
 
Wakati ukuta, tuliwahi kusema na watu walisema MICHAEL CLIFFORD anaenda weka majina ya wote walioshiriki katika unyama wa Lissu.

Kwakua tulizoea wafunga mdomo watanzania je tutaweza mfunga mdomo Michael Clifford?
Hii kesi imekaa kimchongo. Huyu mtu alifukuzwa kazi lini na kesi ijulikane leo? Halafu kesi ya ajira nchini Tanzania ikasikilizwe nchi nyingine???
 
Kama sikosei Boni yai alikamatwa kwa kosa la kumshutumu mafwele mtandaoni.

Sasa najiuliza ni vipi Lissu asikamatwe kwa kumshutumu mh Makonda???

Double standard.
Hawawezi kumshitaki Lissu kwa hili kwa sababu atawamaliza katika cross examination mahakamani.
 
Mzee wetu wa Bilicanas sijui kama atanusurika, maana ana historia ya kuchomesha wenzake, ngoja tusubiri na ya Chacha Wangwe
Acha propaganda za kiphaller wewe, Lissu amesema Mtoto pendwa alituma vijana wawili kwanini hajamtaja Mbowe? Itikadi za kisiasa zisiondowe utu wenu.
 
Ndio tujifunze Kuwa kila unalofanya like jema au baya ipo siku litakuwa hadharani,eidha kabla hujaondoka au baada ya kuondoka duniani.
 
Dunia haina siri kwa kweli .
Kinachowaumbua watu saa hii ni technology.
Walifanya ukatili kwa kutumia mawasilano ambayo kwa dunia ya leo yanaacha digital footprints kila sehemu.
 
Wakati ukuta, tuliwahi kusema na watu walisema MICHAEL CLIFFORD anaenda weka majina ya wote walioshiriki katika unyama wa Lissu.

Kwakua tulizoea wafunga mdomo watanzania je tutaweza mfunga mdomo Michael Clifford?
 
Attachments

  • FB_IMG_1727368868627.jpg
    FB_IMG_1727368868627.jpg
    57.3 KB · Views: 2
Sasa hapo mama anahusikaje!
Sisi mama yako hatuhusu unless wewe uwe Abdul na kwa hiyo Samia ni mama yako mzazi...

KUMBUKA: Hapa tunamwongelea Rais wa JMT anaitwa Samia Suluhu Hassan. Huyu ndiye anatuhusu sisi na sio mama yako wa huko Namtumbo....

Kujibu swali lako ni kuwa Rais Samia anahusika kwa 100% kwa sababu;

1. Ndiye Kiongozi mkuu (Rais wa nchi)

2. Ndiye mwenye mamlaka ya vyombo vyote vya ulinzi na usalama (she is a commander - in - chief of all armed forces)

3. Anaweza kuamuru uchungazi au kuzuia....

##Mpaka hapa unaweza kuona uhusika wake, kwa sababu amezuia uchunguzi huku akiwa na hayo mamlaka...

##Siku nyingine panua ufahamu wako. Elewa mamlaka na nguvu ya Rais. Ungekuwa unajua, usingeuliza swali lililojaa elements za ujinga mtupu kama hili...
 
Povu povu povu lote hilo la nn hasa!
Wataka kumalizia shida zako kwangu Asubh yote hii!!
Anyway, ulikuwa na nafasi nzuri tu ya kulifokea lile shetani lenu la Chato mana ndo uaji kuu. Kwa Samia wajitekenya na kujifurahisha tu.
 
Masikini wa akili na ufahamu wewe...

Kwanini umeshindwa kunisoma na kunielewa..?

Nimekuambia Samia Suluhu Hassan si mama yako wala wangu...

Huyu ni Rais wa JMT...

Anahusika na kuwajibika na kila kilichotokea na kinachotokea sasa hapa nchini sio kama mama yako wewe narogo bali kama Rais wako...

Mpaka hapo huelewi tu? Unadhani nakufokea?
 
Mzee wetu wa Bilicanas sijui kama atanusurika, maana ana historia ya kuchomesha wenzake, ngoja tusubiri na ya Chacha Wangwe
Wewe kama ni mahakamani utafungwa bure, issue iliyoko mezani ni ya kuhusu Lisu, hao wengine wanahusikaje??
 
Back
Top Bottom