TANZIA Michael Ngaleku Shirima mmiliki wa Precision Air afariki dunia

TANZIA Michael Ngaleku Shirima mmiliki wa Precision Air afariki dunia

View attachment 2652129

Mmiliki wa Shirika la Ndege Nchini Tanzania la Precision Air, Michael Ngaleku Shirima, ameaga dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya AgaKhan, Jijini Dar es Salaam

Taarifa zaidi zitakufikia
At the age of 80, amekuĺa neema ya nchi ipasavyo. Maradufu ya roho yake ikawe kwangu.
Buriani Ninja wangu
 
Oooh My God, legendary has gone, R.I.P Michael Shirima, you lived well your life, kwa wale tunaomjua kiundani, alikuwa mtu wa watu, Mungu mpokee mzee wetu huyu na muweke salama peponi, amen

FB_IMG_1686377241679.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom