TANZIA Michael Ngaleku Shirima mmiliki wa Precision Air afariki dunia

TANZIA Michael Ngaleku Shirima mmiliki wa Precision Air afariki dunia

View attachment 2652129

Mmiliki wa Shirika la Ndege Nchini Tanzania la Precision Air, Michael Ngaleku Shirima, ameaga dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya AgaKhan, Jijini Dar es Salaam

Taarifa zaidi zitakufikia
Sad news, pole kwa WA-ROMBO wote, wana kilimanjaro, familia ya SHIRIMA na mwanae MIKE SHIRIMA MAWALA na familia ya kina OBREY MAWALLA.
 
SAd news, pole kwa WA-ROMBO wote, wana kilimanjaro, familia ya SHIRIMA na mwanae MIKE SHIRIMA MAWALA na familia ya kina OBREY MAWALLA.
Kuna kijana wake mmoja alikuwa mtu ngumu sana tulikuwa tunakaa jirani Bagamoyo, mzee alimnunulia trekta jipya akawa anampiga kazi ya kulima mashamba sijui yuko wapi siku hizi
 
Kuna jamaa nadhani na yeye ni ndugu wa huyu mzee maana na yeye ukoo wao ni Shirima.

Miaka ya 2010 baada ya kumaliza chuo akapata kazi kwenye hilo shirika, baada ya muda akaacha kazi akaanza kuporomosha majumba.
Ila nasikia aliiba hela kwenye hiyo kampuni akaacha kazi,

Mpaka sasa hivi mali anazomiliki jamaa haziendani na muda aliokaa kazini kabisa, hata kama analipwa kama mbunge.


Wachaga wezi sana.
 
Classmate sio lazima primary au sekondary. Hata kwenye mafunzo maalum ambayo kijana wa kampuni A anaweza kutana na mzee wa kampuni B wote wakiwa wanafunzi kwa muda fulani. Ukumbuke pia Kuna watu wanasoma Phd wakiwa na 30's na wengine 60's.

Hata kwenye daladal au mlikuwa kwenye flight moja toka Gongomero, huyo ni class mate
 
200% true
Kizazi hichi cha punyeto + simba na yanga hamna kitu
Hwa watu smart wengi haswa ngozi nyeusi wanakufa waliobaki hata watoto wao sidhani kama wataweza kumaintain biashara kama baba zao...Naona Mengi miaka kadhaa ile nafasi ya 4 pale wakipiga hesabu anashuka sioni juhudi za wanae .
 
Back
Top Bottom