Michango ya harusi imekwama, nawezaje kufanya sherehe kwa bajeti ndogo isiyozidi milioni 5?

Ulitumia karibu million 8 huyu yeye 5 million nani katumia pesa nyingi kati yenu ?
 
Bajeti ya harusi ya watu 100- 150
1.Tafuta ukumbi wa gharama nafuu............500,000-1,000,000
2.Tafuta mpishi wa kumlipa kupika, nunua kila kitu yeye apike.........mpishi 300,000...vifaa 900,000.......................1,200,000
3.MC wa 500,000 500,000
4.Video /Picha Music......................................................................................................................................................................................................600,000
5.Vinywaji watu 150(bia 3,soda 2,juice box 1kila meza)......................................................................................................................1,000,000
6.Mineral water..................................................................................................................................................................................................................300,000
7.Usafiri....................................................................................................................................................................................................................................400,000
8.Mengineyo. kadi za mwaliko..................................................................................................................................................................................................................................100,000
9.Keki........................................................................................................................................................................................................................................200,000
10.dharura.............................................................................................................................................................................................................................200,000
11.Mapambo.........................................................................................................................................................................................................................600,000
Jumla ....................................................................................................................................................................................................................................6,100,000

NB:Kama kuna ndugu wenye magari hakikisha mnayatumia kwa ajili ya Maharusi, usafiri mtakaoingia gharama ni wa kuwafuata wakwe.
 
Sio lazima watu wawe 100+
Hata wakiwa 20 tu inatosha.

Punguza idadi ya watu.
 
Usd 3000 x 2650 = 7,950,000/= mkuu hela ilikutoka bado
 
Usd 3000 x 2650 = 7,950,000/= mkuu hela ilikutoka bado
Uko sahihi, kwanza pesa nyingi ilienda kwenye hoteli na hayo yalikua maamuzi yetu tutumie wapi pesa nyingi.

Pili, chakula ndio kiligharim pesa 5M hapo wapita njia nao walibeba vyakula na mabox ya juice.

Bado tungeweza kufanya kwa gharama ndogo zaidi. Mfano, anaweza kuamua chakula kipikwe badala ya catering.

Kwakua ilikua siku ya Pasaka, tukaona tuwape watu furaha.

Sio lazima waende hoteli ya gharama kwa honeymoon. Hayo ni maamuzi binafsi.

Mwisho, kumbuka ni miaka kadhaa imepita, exchange rate ilikua chini kiasi flani.
 

Rate si ilikuwa 600 mwaka huo? 😁
 
Yangu mimi nilifanya kwa 4m ,hapahapa dar es Salaam Tanzania na ikiwa poa tuuu.

Eneo la tukio ilikua ni shekina garden mbezi-jogoo.

Mkuu usifuate mumbo kaka fanya yaliyo ndani ya uwezo wako,binadamu hawana jema
 
Ndoa zenyewe za saiz alafu unataka ugharamikie mimi kwa hapa sina mchango nakungoja kwenye jukwaa letu pendwa ukija na ushuhuda wa uzi unaosema mkewangu ananipangia unyumba nifanyeje, hapo nitakupa ushauri. Sema ameeeen usiwe kiburi
 
Tena MC unaweza ukawa mwenyewe tu bwana harusi kusave hiyo laki
 
Wapumbavu na matapeli mpo wengi sana ...harusi bora ni ile unayo gharamia mwenyewe na familia yako...kama uwezi basi oa tu bila ya sherehe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…