Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Sisi kaboz tunaoana kwa 200k tu jambo linaisha lakn makafiri kwa mbwembwe
Cha kwanza acha kuwaza sifa
Cha pili acha kutafuta heshima mtaani kwa sherehe
Cha tatu sio lazima uweke watu wengi kwenye sherehe
Cha nne sio lazima ufanye sherehe
Tena MC unaweza ukawa mwenyewe tu bwana harusi kusave hiyo laki
Kwaloge watoe michangoHarusi ni mwanzoni wa Septemba, wageni ni 250, lakini 80% bado hawajachanga. Hao 20% waliomaliza wachache ila wengi wamepunguza michango.
Nataka kufanya sherehe ndogo nzuri bila presha kwa bajeti isiyozidi tsh milioni 5-6.
Naomba ushauri wenu wakuu.
Kikristo (Katoliki)Harusi ya kikristo au kiislamu kwanza?
Sasa hata nikisema basi wageni 50, si lazima kutafuta eneo ambalo pia bado gharama zitakuwa palepaleachana na sherehe za anasa andaa chakula cha jioni kwa ajili ya familia na marafiki.
Asante kwa ushauriCha kwanza acha kuwaza sifa
Cha pili acha kutafuta heshima mtaani kwa sherehe
Cha tatu sio lazima uweke watu wengi kwenye sherehe
Cha nne sio lazima ufanye sherehe
Sasa mkuu kosa langu kuomba ushauri 😎NTAMANI NIKUTUKANE
Hapo ni wale waliosema kuhdhuria, ila wanaweza kupungua sana ikiwa hatawachangaWageni 250 kwa budget isiyozidi 5-6M?🤔
Au sijaelewa mimi
Huwa nachanga, ngoja tusubirie miujiza.Watachanga kama unawachangia ni ngumu kukwama watu wengi wanatoa pesa siku zikikaribia kufika..
Hapana, hao ni walioahidi michango.Hao wageni 250 wote ni wa lazima kweli?
Asante kwa ushauriMilioni 5 yote iende bure alafu uanze kuhangaika kutafuta vibarua vya kufanya. Achana na sherehe, hiyo 5M mfungulie biashara mkeo.
Hapa ndio huwa kimbembe gharama zilipomc unakuta milioni, mapambo milioni kazaa. Ukumbi milioni kazaa.
Uliupiga mwingi hapa, ngoja nichukue hizi ''mbwinu''Mimi nilifanya hiviiiiii
Kila kitu kiliishia kanisani, namaanisha ibada ya ndoa hadi chakula cha mchana.
Hapakua na kukodi gari wala dereva, niliendesha mwenyewe, nikapakia wife, tukawapitia wadhamini haooo kanisani.
Watu walivyomaliza ibada ya kawaida, tukaingia ibada ya ndoa, wakati huo catering services zinaendelea nje. Juice za ceres mabox ya kutosha na soda.
Hapakua na kadi za mwaliko wala michango.
Waliokuwepo ibadani, ndugu na marafiki ndio tuliwapa taarifa wajumuike na waumini wengine.
Baada ya ibada na chakula, utambulisho wa ndugu pande za familia zote mbili, tukarudi zetu horelini kuendelea na honey moon.
Hapakua na kelele wala lawama yoyote, wachache wanasema kwanini amefanya hivi wengine wakasema hii ni style nzuri.
Hapo bajeti ilikua watu 200 caterer alifanya 25k kwa sahani. Vinywaji na mambo madogo madogo, ilitumika kama usd 3000 tu.
Zingatia hapo hakuna gharama za ukumbi, MC, sijui mapambo, kukodi magari na makorokoro mengine.
Hiyo pesa inajumuisha na siku tatu za kulala hotelini maeneo ya Ramada, walikua na offer ya Pasaka.
Usifanye jambo kufurahisha watu.
Akiba ipo mfuko wa shati maana naona mambo si mambokuwa na akiba zenu za kutosha kujazilia patakapo femea.
Inatakiwa wawe wangapi?Watu 250??!! Unafanya Harusi au Msiba??!!
sawa DaudiHarusi ni mwanzoni wa Septemba, wageni ni 250, lakini 80% bado hawajachanga. Hao 20% waliomaliza wachache ila wengi wamepunguza michango.
Nataka kufanya sherehe ndogo nzuri bila presha kwa bajeti isiyozidi tsh milioni 5-6.
Naomba ushauri wenu wakuu.
huyu ni Daudi broHarusi ya kikristo au kiislamu kwanza?