Michango ya harusi imekwama, nawezaje kufanya sherehe kwa bajeti ndogo isiyozidi milioni 5?

Michango ya harusi imekwama, nawezaje kufanya sherehe kwa bajeti ndogo isiyozidi milioni 5?

Harusi ni mwanzoni wa Septemba, wageni ni 250, lakini 80% bado hawajachanga. Hao 20% waliomaliza wachache ila wengi wamepunguza michango.

Nataka kufanya sherehe ndogo nzuri bila presha kwa bajeti isiyozidi tsh milioni 5-6.

Naomba ushauri wenu wakuu.
Unataka mwenza au sherehe?

Ukishajitambua utagundua jibu unaishi nalo
 
Harusi ni mwanzoni wa Septemba, wageni ni 250, lakini 80% bado hawajachanga. Hao 20% waliomaliza wachache ila wengi wamepunguza michango.

Nataka kufanya sherehe ndogo nzuri bila presha kwa bajeti isiyozidi tsh milioni 5-6.

Naomba ushauri wenu wakuu.
5m mbona ni nyingi sana BWASHEEE? Yaani ilitakiwa hapo hela ya kukodi bajaji ya kuwatoa home kwenda kanisani na kuwarudisha baaasi.
 
Harusi ni mwanzoni wa Septemba, wageni ni 250, lakini 80% bado hawajachanga. Hao 20% waliomaliza wachache ila wengi wamepunguza michango.

Nataka kufanya sherehe ndogo nzuri bila presha kwa bajeti isiyozidi tsh milioni 5-6.

Naomba ushauri wenu wakuu.
Engelea kuhamasisha na kufuatilia ahadi unazozijua,kawaida kila mtu ana mambo mengi,na anatamani apunguze yale yanayomzonga zaidi ila nia ya kukuchangia anayo hivyo kikiubwa usikate tamaa na usichoke kumkumbusha kila mmoja iwe kwa kumwona ana kwa ana ama kupitia watu wake wa karibu na wale wanaokusaidia kwenye hamasa
 
Fanyia kanisani
1. Chakula 2m
2.Vinywaji 0.5m
3. Mc- mzee wa kanisa
4. Nitumie 50k niendelee kuwahamasisha watu watoe michango.
 
Humu watu muna pesa aisee nakumbuka mimi ilikuwa hivi 1.mchele 2.maharage kg 20 ...3.mafuta ya kupikia 5 lita 4.nazi 50 ...5.chunvi sado 6.maandazi 60 kwa ajili ya wanakwaya 7.sukari kg 2 ....8.majani ya chai 9.vitunguu kg 4, 10.sahani na masufuria na vikombe tuliazima kwa majirani 11.wapishi walikuwa ndugu zangu 12.muziki ulikuwa 70
,000 13.nikawajazia vijana pikipiki lita 1 kila pikipiki na zilikuwa 40 ili kutusindikiza nyumbani 14.wanakwaya niliwaalika na wakaja kwa townace nikalipia 80000 15.soda kreti moja na maji katon mbili kwa ajili ya wanakwaya 16.nyama kilo moja na viazi nusu kwa ajili ya mboga ya padre na katekista na wahudumu 17. nilinunua dumu 10 za maji ya mvua kwa ajili ya watu kunywa 18.mavazi yetu
 
Milioni 5 yote iende bure alafu uanze kuhangaika kutafuta vibarua vya kufanya. Achana na sherehe, hiyo 5M mfungulie biashara mkeo.
Katika comment zote hii akiichukulia serious hata huyo mwanamke atajua mwanzoni tu ni mke wa ukweli au mbuzi wa gunia.Kama ni garasa upinznai utakuwa wa hali ya juu mno!!
 
Harusi ni mwanzoni wa Septemba, wageni ni 250, lakini 80% bado hawajachanga. Hao 20% waliomaliza wachache ila wengi wamepunguza michango.

Nataka kufanya sherehe ndogo nzuri bila presha kwa bajeti isiyozidi tsh milioni 5-6.

Naomba ushauri wenu wakuu.
Wageni wote hao wa nini na hela huna yanini kujipa presha zisizo na maana yeyote.alika watu 50 tu wanatosha kwa budget yako..
 
Nje ya mada kidogo: vijana oeni wanawake mliokutana nao wakiwa bikira. Hawa hawana mambo mengi wanachotaka ni mume tu wakaanze pamoja familia yao. Unatoa tu mahari, unachukua mke, shughuli imeisha

Lakini street veterans lazima wang'ang'anie kuolewa na msafara wa matarumbeta kwa sababu kwao sherehe ya harusi ni jukwaa la kuwashushua maex wake na mashoga zake waliosema haolewi
📌📌📌🔨🔨🔨
 
Harusi ni mwanzoni wa Septemba, wageni ni 250, lakini 80% bado hawajachanga. Hao 20% waliomaliza wachache ila wengi wamepunguza michango.

Nataka kufanya sherehe ndogo nzuri bila presha kwa bajeti isiyozidi tsh milioni 5-6.

Naomba ushauri wenu wakuu.
Mkuu ukiachana na michango ya ndugu jamaa na marafiki wewe umejipangaje kwanza ktk harusi yako
 
Harusi ni mwanzoni wa Septemba, wageni ni 250, lakini 80% bado hawajachanga. Hao 20% waliomaliza wachache ila wengi wamepunguza michango.

Nataka kufanya sherehe ndogo nzuri bila presha kwa bajeti isiyozidi tsh milioni 5-6.

Naomba ushauri wenu wakuu.
Yaani unapanga matumizi bila hela. ?
Shuka hela weka bejeti kwa waliochanga. Ila najua kwenye iyo M 5 mpaka mwezi wa Tisa itabaki 0
 
Kila la kheri kwenye jambo lako. Mwenyenzi Mungu akufanyie wepesi
 
Back
Top Bottom