Michango ya members wa JF kuhusu ndoa huifanya ndoa ionekane ni taasisi ngumu sana

Bila strong family/ marriage hakuna taifa imara..

Mimi ni shuhuda kua ndoa ni kitu chema ni mtoto wa kwenye product ya NDOA.

Hawa kataa ndoa mpaka Sasa ni sufuriii sisi wanandoa tunaongoza kwa goli 5

😁😂 Watakuja kusema najibaraguzaa
Kupata mke au mumeo mwenye sifa za kuishi nae kwenye ndoa ni sawa na kubeti, ww oa au olewa TU mengine utayakuta huko na ukishindwa unaachia wengine
 
Yani kama huna akili huru ya kuchanganua mambo na kuwasikiliza watu wa jf hutoweza kuoa,ni hodari sana wakuchambua ubaya wa ndoa utafikiri wamewahi kuoa basi
Mtu mwenye akili timamu hawezi kufata kila analoliona humu, lazima uchambue vya msingi! Cha ajabu washauri wengi wa ndoa hawana hata hizo ndoa kutishana tu!
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi kufata kila analoliona humu, lazima uchambue vya msingi! Cha ajabu washauri wengi wa ndoa hawana hata hizo ndoa kutishana tu!
ila kuna wengine huwa wanameza kila kitu kwakuwa tu kinasemwa na watu wengi japo sio kitu sahihi,hawa ndio waathirika wakubwa sana
 
ila kuna wengine huwa wanameza kila kitu kwakuwa tu kinasemwa na watu wengi japo sio kitu sahihi,hawa ndio waathirika wakubwa sana
Mtu wa namna hii atayumba sana atakuwa hana maamuzi wala msimamo kwenye mipango yake, anakuwa ni mtu wa kuunga tela tu.. story zote za kahawa anabebelea, ndio yale mpige mkeo kdg akuheshimu, unashangaa tu kipigo ata huelewi kitu🤦🏽‍♀️
 
Yani kama huna akili huru ya kuchanganua mambo na kuwasikiliza watu wa jf hutoweza kuoa,ni hodari sana wakuchambua ubaya wa ndoa utafikiri wamewahi kuoa basi
Mnakomaa kuhamasisha vitu visivyo na maana tu , wamatumbi bhana🚮
 
KImsingi ndoa huwa hazifanani....kila mtu ana raha zake na shida zake...AKILI KU MKICHWA
 
Oa mkuu, huu ni mjadala wa wazi usitegemee utaungwa mkono na kila mtu , na ingekua hivyo uzi ungeishia robo page tu

Swala sio kuungwa mkono,swala hapa ni hoja gani inazungumzwa,nafahamu watu tuna mitazamo tofauti lkn ishu hapa hao wenye mitazamo tofauti wana hoja gani za maana au ndio kujaza tu comments ili mradi uzi uonekane una wachangiaji​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…