min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
hoja kitu gani? Wamatumbi kutwa kucha kuhamasisha ujinga ujinga tu , wewe watu wasipo oa unapata hasara ganiSwala sio kuungwa mkono,swala hapa ni hoja gani inazungumzwa,nafahamu watu tuna mitazamo tofauti lkn ishu hapa hao wenye mitazamo tofauti wana hoja gani za maana au ndio kujaza tu comments ili mradi uzi uonekane una wachangiaji