Michango ya members wa JF kuhusu ndoa huifanya ndoa ionekane ni taasisi ngumu sana

Swala sio kuungwa mkono,swala hapa ni hoja gani inazungumzwa,nafahamu watu tuna mitazamo tofauti lkn ishu hapa hao wenye mitazamo tofauti wana hoja gani za maana au ndio kujaza tu comments ili mradi uzi uonekane una wachangiaji​

hoja kitu gani? Wamatumbi kutwa kucha kuhamasisha ujinga ujinga tu , wewe watu wasipo oa unapata hasara gani
 
Ndo maana sijawahi kuamini mtu from nowhere akupe mchongo wa kukufaidisha, never!

kukuhamasisha uteseke hilo wapo vizuri ili wafurahie anguko lako ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
Oa kijana๐Ÿ˜…
 
Mimi nilioa ila kila mtu akapita kushoto bwashee ๐Ÿ˜…
hahah kumbe wewe ulionja joto la jiwe kidogo ndo maana unakimbia.

Mimi nilipata experience tu nilipokuwa chuo nilipanga chumba nikaishi na mwanamke 2 years, niliyopitia ni funzo tosha. hizo starehe wanazotumia kujitetea wanandoa zipo miezi 3 hadi 6 ya mwanzo tu inafuata episode ya kuchokana hapo hakuna rangi utaacha kuiona mwanaume
 
Hahaha kuishi na mtu mwenye meno 32 inabidi ujikane mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ