Mvumbo siku hizi silali, wachawi wananiita Bundi/
Wakija mkononi nina pombe kali, pembeni dem akinionyesha ufundi/
Na mtoto akilala chali, muhuni nahamia kiwenye mirungi/
Nakesha kama sadali, maafande wanakuta vishungi/
Wana unajua hiphop tamu/
Mistari haishi nipeni kalamu
Sio kama Big g haishi hamu/
Boom kitambo kwa hii gemu/
Wabana pua mjipeleke lamu/
Zenu skendo nani hafahamu/
Taarab,zuku zote marehemu/
Tifu hiphop iko kwenye damu/
Eti haiuzi ndo mnavyo hukumu/
Dume unaimba uno
Mwanangu nakuombea mema, kaza utapata mapeni/Dunia mapito yenye tabu na wingi wa mateso, tuishi kwa amani hakuna aijuaye kesho/
Njaa imezonga tumbo kazini sijapewa posho, madeni yameniandama pesa hakuna full michosho/
Demu wangu wakunifariji kanikimbia bila sababu, hajui hili ni jaribu ipo siku mungu ataniinua kama ayubu/
Wale wote wanaonitambia siku yaja watatubu, unachomfanyia mwenzako saizi hifadhi katika kumbukumbu/
siku hiyo kwako haitasahaulika japokua dunia huzunguka, yani kama petro kumkana yesu baada ya jogoo kuwika/
Utalia na kusaga meno wakati huo mimi hoi nacheka, maisha ni betting mwingine aki win mwingine atachana mkeka/
Ni kweli life linabana, zaidi ya chupi ya mtoto/Life tight na pesa imekua overrated,
Mpango wa family haujatukuka Medicated,
Pigo za kutomasa kwa tax ndo imekua dedicated,
Niggas tuna hustle lakini bahati iko faded,
Ibada tuko pamoja mbona cash zangu ziko delayed,
Sir God,Oh Lord umetoa neema wengine A na sisi umetupa Z,
Hatulaumu,majukumu yanafanya tucheke na Bar maid,
Kama Sumu,ugumu na hukumu ni kwa kila mtu,
kwa fununu, sio kila siku tunapata mkate wetu,
We ndo Mungu,tupe baraka nasi tufuruhie mifuko yetu.......
Hip Hop ni Tamaduni, zaidi ya kuvaa ngozi/Wana unajua hiphop tamu/
Mistari haishi nipeni kalamu
Sio kama Big g haishi hamu/
Boom kitambo kwa hii gemu/
Wabana pua mjipeleke lamu/
Zenu skendo nani hafahamu/
Taarab,zuku zote marehemu/
Tifu hiphop iko kwenye damu/
Eti haiuzi ndo mnavyo hukumu/
Dume unaimba uno
Ma love hadharani, zaidi Film za kihindi/Babe wangu huyoo, uko vizuri kila sekta nitaki nini tena, nnachotaka napata!
I love you babe kichwaaa[emoji3] [emoji3]
Umetisha mzee wa michanoo, uende studio aiseeMa love hadharani, zaidi Film za kihindi/
Natamani nikuweke ndani, ila Kichwa kichafu ndiye mshindi/
Naepuka ushindani, na vile sina shilingi/
Acha tu nile majani, kama Sele Msindi/
Huwezi kumpata kwasababu unaimba ngumu, mademu wanataka ulegeze kama msaga sumu/Ma love hadharani, zaidi Film za kihindi/
Natamani nikuweke ndani, ila Kichwa kichafu ndiye mshindi/
Naepuka ushindani, na vile sina shilingi/
Acha tu nile majani, kama Sele Msindi/
mchumi tumbo, unaundugu na Mvumbo/Ok ok twende pamoja/
naona wengine wanazidi kuleta vioja/
mimi ndo mwenye ngumu kali zisizochuja/njaza moto kama fast charger/
nipo hewani kama pikipiki baja/
Sina mengi wazee asanteni kwa kuja.