Mwanangu Mchumia tumbo/Ok ok twende pamoja/
naona wengine wanazidi kuleta vioja/
mimi ndo mwenye ngumu kali zisizochuja/njaza moto kama fast charger/
nipo hewani kama pikipiki baja/
Sina mengi wazee asanteni kwa kuja.
Kabla hujaleta balaa, hujui umeingia chaka?/Me ndo naingiza humu balaa, mpaka mnipe murder case
Flow zangu ni za a million dollar, fake MC's wa JF hamuogopi kuniface
Acha kuwasanda ma mwelaa, moshi wa jani hewani kwa confidence
Hizi ndo stanza usidatee tu na color, watu uzini wanapagawa na hizi verse
Vichwa panzi ombeni ku confess, nawamurder sijali zenu weakness
sio wino ni penseli kwa karatasi, muhuni sihanyi hata kiba akinigasi
maneno ndio kitu gani?/andika yako akiliManeno yako ya busara, hakika jamii umeipa somo/
Ukikaza utakuwa kinara, japo game ni ya Promo/
Zama tena maabara, leta vitu wafunge midomo/
Kukata tamaa ni hasara, najua hujafika kikomo/
Hizi flow za moto, kama bin unuki/Asiyekiri ni kafiri, basi mimi nina kiri/
Wakuu mmekithiri, kwenye tenzi ninyi ni killer/
Kwa jinsi mnavyo flow, Denvers naomba poo/
Sio kwamba nawabeza, Ngoja nigonge meza.
Karibu himayani, nikufunze adabu/maneno ndio kitu gani?/andika yako akili
Ndio nyinyi wa lumumbani /saanane mmemkill
ila bado tupo njiani /safari ndio adhuhuri
Jiwe atumtaki mjengoni/na katiba tutaibadiri
Napata woga kuichana serikali nisije nikateleza, uhai nilionao naogopa kuupoteza/maneno ndio kitu gani?/andika yako akili
Ndio nyinyi wa lumumbani /saanane mmemkill
ila bado tupo njiani /safari ndio adhuhuri
Jiwe atumtaki mjengoni/na katiba tutaibadiri
Hapa kazi tu sasa imegeuka kua hapa unazi tu, wanyonge wanaumia pesa umebana we unaona safi tu/maneno ndio kitu gani?/andika yako akili
Ndio nyinyi wa lumumbani /saanane mmemkill
ila bado tupo njiani /safari ndio adhuhuri
Jiwe atumtaki mjengoni/na katiba tutaibadiri
We assasin nigga, ukipotezwa usianze kidenzi kulalamikaKabla hujaleta balaa, hujui umeingia chaka?/
Mvumbo nina silaha, na nimevaa za Mabaka/
Kwanza chini kaa, kabla sijakupa mashaka/
Na ukisikia paa, ujue tayari imekupata/
Ukinisikia naghani, chunga usinyee kambi/
Mvumbo ni mwembe wa uwani, nyani hatambi/
Unaonekana kama wewe ni rapper wa mataga, nawachana mwambieni dingi yenu tumemchokaNapata woga kuichana serikali nisije nikateleza, uhai nilionao naogopa kuupoteza/
Katiba ndio muongozo ila bado inapuuzwa, tumewekewa vikwazo hakuna uhuru wa kujieleza/
Na viapo walikula kuahidi katiba wataitekeleza, sasa wameingia mitini baada ya kuitelekeza/
Swali nyeti ambalo hata wewe waweza kujiuliza, kwanini wasigawe bure vyeti vya kuzaliwa bila kuuza?
Asiyehusika na rap akimbie na kama ikibidi atoke, ntazua utata waniamulie kama bifu la ebitoke/Baada ya pruuuuu mpaka makka,najichenga kwa kulside navyotaka
Na kamvua kananyesha,fasta fasta kitandani najitupa
Kashuka kanameremeta,si unajua upya hakuna kunuka
Usingizi unaniteka,mara paap nastuka niko Jf mistar nashuka.
M16
Tunapaswa kuwatema, misemo yao ya kipuuzi tuu/wanaojiita great thinker, wamejazana kwenye mada ya mshana wana selfika/
Jf imepoa imefikia kiwango sasa inaboa, mademu wanafikiria kudanga wala hawana hamasa ya ndoa/
Scars nifanye nini kuepusha haya maovu, kama ninao wafundisha wananicheka kwa yangu makovu?
Jf is where we dare to talk openly, msiwe wakosefu punguzeni uhuni na maneno ya kejeri/
Kutoka "mchomoa betri" mpaka kufikia "upepo wa kisulisuli," siachi kufoka ndani ya beti kukemea misemo feki inayoharibu kiswahili/
Nawachana kwa vina ikikuuma vunga, utanifanya nini we kima mi ni simba katika mbuga/
Tunapaswa kuwatema, misemo yao ya kipuuzi tuu/
Mara baba kasema, mara mji mzito huu/
Ghetto unacheza ngoma ya Baba lao alafu humu unajiita mgumu??Bi*tch as hoeNjoo mmu ucheki mada za wanabodi, stori mpya ni mali ya milion ishirini ipelekwe kwa shamsha ford/
Naskia Mvumbo ni supu. maana una sura ya Mbuzi../Ukinikuta uso wa kuku basi we chunga/
Ukiongea kama kasuku we punga/
Na ukitaka andika huku we tunga/
Ila kama zumbukuku basi we vunga/
Mimi nanyonga kama pusha/
Hawa watoto nawapeleka leba/
Mistari yangu mizito kama busha/
Wanashangaa ni vipi naibeba/
Saluti hewani kwa makamanda/
Wanaoendeleza huu uzi/
Jeshi daima hakuna kusanda/
Tusonge yaani kama jana na juzi/
Mvumbo sasa napiga parapanda/
Nawaamsha hawa wapuuzi/
Daima nalitawala hili kandanda/
Napiga kimo cha mbuzi/