INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Pamoja na kusomea misitu unajua sana customer care,lugha ya kibiashara.

Nitakutafuta kwa ajili ya mbilimbi za kizungu.
 
Pamoja na kusomea misitu unajua sana customer care,lugha ya kibiashara.

Nitakutafuta kwa ajili ya mbilimbi za kizungu.
Asante sana boss kwa kuni-appreciate.Kwa wateja wanaokuja direct bustanini basi wao wanakutana na sura yenye tabasamu muda wote wa kupatiwa huduma + customer care😊
 
Lily parachichi aina ya Hass ile mbegu fupi Dar es salaam inaota na kuzaa?...pia nimeotesha white mulberries lakini hazizai tatizo ni nini
 
papai bei kwa mche ni sh ngapi?
Kwanza samahani boss kwa kuchelewa kujibu,Kwa siku4 nilikiwa mahali ambapo hakuna network kabisa.Samahani kwa hilo.
Bei ya mche wa papai ni sh 3500,ukihitaji miche ya eka moja tunakufanyia discount .Krib sana
 
Lily parachichi aina ya Hass ile mbegu fupi Dar es salaam inaota na kuzaa?...pia nimeotesha white mulberries lakini hazizai tatizo ni nini
Samahani boss kwa kuchelewa kujibu.Kwa siku 4 nilikuwa mahali ambapo hakuna network kabisa.
Ndio boss parachichi Hass zinastawi ukanda wote wa Pwani.
Kuhusu mulberries naomba unitumie watsapp picture ili nione tatizo
 
Safi sana nishaziweka udongoni nazisikilizia ila tendea kazi ule ushauri wa packaging
Great.Kuhusu ushauri wako tutautendea kazi.Asante kwa kuendelea kutuamini
Asante
 
Sasa , maeneo ya kisarawe pwani Ni vizuri kupanda aina gani ya embe ?

Unashauri aina ipi ya embe ambayo mtu unaweza Kuuza hata kwa wenye viwanda ?
Pwani embe aina zote zinastawi bila tatizo lolote.
Ila tu hakikisha eneo lako lina rutuba ya kutosha na uhakika wa huduma ya maji.Lakini kama una lima kibiashara basi hakikisha udongo wako unapimwa kujua pH,na kama kuna wadudu basi ufanye treatment kwanza.Sababu bila shaka utakuwa umewekeza pesa nyingi hivyo inabidi ufanye kitu chenye uhakika.

Kuhusu aina za embe ambazo zinahitajika zaidi kwenye viwanda,ni red indian,apple mango,tommy,kent
 
Sasa , maeneo ya kisarawe pwani Ni vizuri kupanda aina gani ya embe ?

Unashauri aina ipi ya embe ambayo mtu unaweza Kuuza hata kwa wenye viwanda ?
Ingawa aina nyinginezo pia zinaweza kuhitajika kulingana na uhitaji wa kiwanda husika.
karibu
 
Pilipili hoho 1kg sh 4500.Karibu sana
 
Ni muhimu sana kumiliki shamba la matunda kwa ajili ya kujiongezea kipato na kutengeneza mrija wa kujipatia fedha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…