Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana boss kwa kuni-appreciate.Kwa wateja wanaokuja direct bustanini basi wao wanakutana na sura yenye tabasamu muda wote wa kupatiwa huduma + customer care😊Pamoja na kusomea misitu unajua sana customer care,lugha ya kibiashara.
Nitakutafuta kwa ajili ya mbilimbi za kizungu.
miche ya Strawberry Guava unayo?Karibu sana siku na saa yoyote nikuhudumie.
papai bei kwa mche ni sh ngapi?
Safi sana nishaziweka udongoni nazisikilizia ila tendea kazi ule ushauri wa packagingView attachment 1673279
black passion
Lily parachichi aina ya Hass ile mbegu fupi Dar es salaam inaota na kuzaa?...pia nimeotesha white mulberries lakini hazizai tatizo ni nini3.Asilimia kubwa ya miche yetu ni ya kisasa(zaidi ya 90%),nikiwa na maana kuwa imefanyiwa budding na mingine grafting, ni miche michache sana ambayo ni ya asili mfano,Ukwaju,Zaituni,Tende n.k
Hivyo basi,kigezo cha kwanza tunachokitumia kujua kama Mche wetu wa kisasa aina ya Muembe(mfano)utastawi,tunaangalia je, Bagamoyo ipo.miembe ya asili inayostawi?.Kama jibu ni ndio,basi mche wetu wa muembe uliofanyiwa grafting nao pia utaleta matokeo mazuri.
Sababu grafting ni muunganiko wa mche wa asili na mche wa kisasa.
Hivyo basi,kwa Bagamoyo miche ambayo itakuletea matokeo ni kama Embe,Minazi,Citrus zote(chungwa,chenza,ndimu,limao,balungi),Parachichi,Papai,passion
Kwanza samahani boss kwa kuchelewa kujibu,Kwa siku4 nilikiwa mahali ambapo hakuna network kabisa.Samahani kwa hilo.papai bei kwa mche ni sh ngapi?
Samahani boss kwa kuchelewa kujibu.Kwa siku 4 nilikuwa mahali ambapo hakuna network kabisa.Lily parachichi aina ya Hass ile mbegu fupi Dar es salaam inaota na kuzaa?...pia nimeotesha white mulberries lakini hazizai tatizo ni nini
Sasa , maeneo ya kisarawe pwani Ni vizuri kupanda aina gani ya embe ?
Pwani embe aina zote zinastawi bila tatizo lolote.Sasa , maeneo ya kisarawe pwani Ni vizuri kupanda aina gani ya embe ?
Unashauri aina ipi ya embe ambayo mtu unaweza Kuuza hata kwa wenye viwanda ?
Ingawa aina nyinginezo pia zinaweza kuhitajika kulingana na uhitaji wa kiwanda husika.Sasa , maeneo ya kisarawe pwani Ni vizuri kupanda aina gani ya embe ?
Unashauri aina ipi ya embe ambayo mtu unaweza Kuuza hata kwa wenye viwanda ?