INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Singida naipataje
Nipe utaratibu mkuu
Tunatuma pacels za miche mikoa yote kwa kutumia mabasi boss.

Utaratibu ni huu:
Baada ya mteja kunitumia idadi na aina ya miche anayohitaji,nitamtumia jumla ya gharama anazopaswa kulipa ikiwa na pamoja na gharama za usafiri kwa mkoa husika.

Gharama za usafiri zinatofautiana mkoa mmoja na mwingine kulingana na umbali kutoka Morogoro(SUA).Na gharama ni kwa kila pacel moja yenye miche isiyozidi 50.
Mteja atafanya malipo kwa kupitia namba za simu au Bank ac.
Baada ya malipo,atatuma majina na namba za simu za mtu atakae pokea pacels.
Pacel itaandaliwa kisha mteja atatumiwa picha ya pacel yake ikiwa na majina,namba na mahali inapoelekea.

Pacel ikishapakiwa kwenye basi,mteja atatumiwa Tiket number,plate number ya basi,jina la basi,number ya kondakta/dereva.
Mimi,mteja na kondakta tutaendelea kuwasiliana mpaka mteja atakapopokea pacel yake.
 
kuanzia miche mingapi mnatuma?
 
inastawi dodoma?
Cocoa inastawi ukanda wa joto na ukanda wa baridi pia.
tofauti ni hii,cocoa ya ukanda wa baridi inachelewa kuiva ila ina kuwa na matunda mengi,cocoa ya ukanda wa joto inawahi kuiva ila matunda machache.
karibu boss
 
0719527062/0757056472
karibuni niwahudumie wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…