Kwani wewe kweli ni mdada? Maana wadada wengine wangempa nenoasante kwa kuchangia
karibu
Hivi starfruit inastawi Dar?starfruit: Tunda lenye harufu nzuri,muonekano wa kuvutia,ladha tamu.
Unaweza kula na kutengenezea juice pia sababu ya harufu ,kiwango kikubwa cha sukari na ladha yake
Mche sh 2000
Nina tumaini njia niliyokuelekeza itakusadia mkuu,lakini kama bado tatizo litaendelea basi itakubidi upulize dawa.Maembe yangu yakikomaa yanapokaribia kuiva yanakuwa hivi.
Nifanyeje?View attachment 2591927View attachment 2591928