INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Haya madude mnayoyaita "YA KISASA" yameharibu utamu wa. vyakula na matunda ya asili na zile mbegu za asili ambazo ni tamu zimepoteaa. Haya ya Sasa ni test less pamoja na ukubwa wao
 
Haya madude mnayoyaita "YA KISASA" yameharibu utamu wa. vyakula na matunda ya asili na zile mbegu za asili ambazo ni tamu zimepoteaa. Haya ya Sasa ni test less pamoja na ukubwa wao
asante kwa kuchangia
karibu
 
Mteja yoyote ambae amekutana au anakuta na changamoto yoyote katika Hatua za ukuaji wa miche yake,tafadhali usisite kuwasiliana nami ili kupata ufumbuzi wa changamoto hiyo Kabla ya madhara makubwa kutokea.

Ili kupata ufumbuzi haraka na kwa wepesi hakikisha una ambatanisha na picha ya mche/miche iliyopata madhara,kisha unanitumia WhatsApp.

Note:Huduma hii ni kwa wale tu walionunua miche kwenye vitalu vyetu.

0719527062(whatsApp)
 
Wakuu kuna mteja alinipigia simu siku ya Jumapili na aliomba kupata maelezo kadhaa kuhusu kilimo cha Limao,
Nilimpatia taarifa za awali na nilimuahidi kumpa taarifa zaidi,kwa bahati mbaya nimepoteza namba yake,please kama yupo humu naomba anitafute.
 
Asante sana kwa wale wanaoendelea kutuamini,na karibuni tena
 
Mvua zinaendelea kunyesha maeneo mbalimbali.Huu ni wakati sahihi kupanda miti ya matunda na mbao.karibuni sana
 
Maembe yangu yakikomaa yanapokaribia kuiva yanakuwa hivi.
Nifanyeje?
Screenshot_20230418-131146.jpg
Screenshot_20230418-130845.jpg
 
Lakini pia ni muhimu kupuliza dawa pindi tu miche unapoanza kutoa maua ili kuua wadudu ambao wanatanga mayai kwenye maua na mwisho wadudu wanazaliwa
 
Back
Top Bottom