GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Nitunzie! Utanijumuishia kwenye michache nitakayoiagiza hivi karibuni🙏Asante mkuu kwa kunitia moyo,ujumbe kama huu unanipa nguvu zaidi.Umebariki moyo wangu hakika.
Ungekuwa Moro ningekupatia mche mmoja wa papai,😀
Kumbe! Sasa utajuaje midume na mijike?miche ya papai inaweza kuangusha maua mengi sababu maua hayo hayajafanyiwa uchavushaji,hivyo hakikisha unapanda na mipapai dume ili kurahisisha uchavushaji
Nitakupigia🙏🙏🙏Ndio boss.
Tofauti ipo kwenye size,giant passion ni kubwa Sana kulinganisha na passion za kawaida.
Pia passion za kawaida zipo kwenye makundi matatu.
1.Red Passion
2.purple Passion
3.Yellow passion
Giant passion zipo za Aina moja tu
Apple inastawi Ukanda wa Pwani?Mche wa apple sh 2000. Matunda baada ya mwaka 1
LocationHeri ya mwaka mpya wa 2024
Asanteni Sana wateja wetu kwa kutuamini Kwa kipindi chote cha mwaka 2023,hakika mmekuwa baraka kwetu.
Lakini pia niombe radhi kama kuna mahali tulishindwa kutimiza wajibu wetu ipasavyo...
Mwisho,tuna ahidi kuendelea kuwahudumia Kwa moyo wa upendo na uaminifu usio na kifani,kwetu utakutana na customer care iliyo bora zaidi.
Lily Loves you
Boss Sisi tumejikita kwenye uzalishaji wa miche ya matunda na mbao Pekee.Mbali na miche ya matunda je mnasaidiaje wafugaji kwa mahitaji yao ya majani kwa ajili ya malisho?
Mna nyasi pia? Au kwa mfano Juncao grass
Asante sana kwa hilo acha nifuatilieBoss Sisi tumejikita kwenye uzalishaji wa miche ya matunda na mbao Pekee.
Kuhusu mifugo,kuna department ya Agriculture wana deal na masuala yote ya kilimo na ufugaji
Hello! Salama?Nitafurahi kukuhudumia
Hii hatuna kwasasa boss.Hello! Salama?
Natafuta miche ya Tamarillo
Mnaweza kuwa nayo?
View attachment 2926474View attachment 2926474