Kwanini ununue kwetu?
1.Kwetu utapata miche yenye afya na ubora wa hali ya juu.
2.Bonus zipo(suprise)
3.Utapata customer care nzuri ambayo hujawahi kuipata mahali pengine popote,♥️
4.Tumeweka utaratibu wa kuwasikiliza/ kuwasiliana na wateja wetu kila baada ya kipindi Fulani,lengo ni kuweza kusikia kutoka kwao kama kuna changamoto yoyote wanakutana nayo katika kuitunza miche.
5.Kununua kwetu ni jambo moja lakini elimu na maelekezo muhimu unayopata baada ya kununua miche,ni jambo la pili.
6.Endapo kutakuwa na changamoto yoyote wakati wa kusafirisha parcel,mfano
Miche kuvunjika
kupotea Kwa parcel
kupokea parcel yenye idadi pungufu n.k,
tutakuandalia na kukusafirishia parcel nyingine Kwa gharama zetu.