INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Duh ivi vitu vingine tunatoana ushamba asee ndo vinini ivo nimeona naizo cjui passion nin
Hizo ni star fruits boss, waswahili tumezoea kuita Mbilimbi za kizungu😊. Na matunda yenye ladha nzuri na harufu nzuri sana. Unaweza kula hivyo hivyo na wengine wanatengeneza juice. Ladha yake na harufu inavutia sana. Kwenye juice. Hayana uchachu
 
Duh ivi vitu vingine tunatoana ushamba asee ndo vinini ivo nimeona naizo cjui passion nin
Hizo nyingine ni Giant passion. Ni passion kama passion nyingine tofauti yake ni size, hizo ni kubwa sana kulinganisha na passion nyingine.
 
Mti wa apple unaweza kustawi Dsm?
 
Dah kwakweli nitakaribia namingoni mwa mbegu nitakazozihitaji nihizo zilizonitoa nitahitaji hizo zilizonitoa ushamba..Mbeya zinakubali lkn
Ndio mkuu, Star fruits zinafaa Mbeya. Karibu sana niko available 24/7 Pm hata kwenye namba zangu za simu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…