INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Miche ya miti ya mbao Aina ya Cedrela na Tectona inapatikana
Kwa bei ya punguzo sh 500/=
 
Karibu kuna punguzo la bei ya mbao Aina ya teak na Cedrela, badala ya 1000 sasa ni 500
 
Tunawapenda Sana wateja wetu,asante Kwa kuendelea kutuamini
 
Kama hizi picha sio za ku google hongera sana
 
Nishachukuwa namba zako tayari vizuri ni kwamba mwezi ujao nna matarajio ya kuja Morogoro lengo kuu ni kuwekeza kwenye ardhi hasa Mashamba so sitotaka yakae bure i hope itanisaidia katika ushauri wa kilimo na mambo mengine
Kaka hiyo minazi yenu inachukua miaka mingapi kuzaa matunda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…