Dogo umenikimbia eeh?Wapendwa mkaribie.Nipo kwa ajili yenu
Njoo pmUnataka miche ya aina gani nikuhudumie boss wangu?
Safi sana Mkuu, nitawasiliana nawe...mi nataka miche ya matunda michache michache nipande nyumbani kwangu.View attachment 1595070
miche ya limao
Hili ni chungwa au?View attachment 1602744Balungi fruit